Mkuu sijui kama utafanikiwa... humu JF?Kwanini bro, hata mwenye connection na bikra sipati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sijui kama utafanikiwa... humu JF?Kwanini bro, hata mwenye connection na bikra sipati?
Lengo la uzi ni kumpata mwanamke mwenye hizo sifa, kama unajijua huna sifa hizo ungekaa kimya
Kwani hiyo generation bado ipo hai?😂😂😂😂Kwahiyo sie wa afutisa mia na semanini ndio vikongwe ama😂
Hiyo ama hii unayomshauri ni wewe ,wee Kama bikra ipo nenda achana na hayo ya kicheche hayo ni ya baadaye ya kuwa amepata bikra. Mke kutoka nje ni mwanaume mwenyeweHapo pagumu
Ataekwambia anayo hayupo.
Na ata akikwambia anayo mpk upige ndo utajua.
Tafuta mwenye Tabia njema na hofu ya Mungu, kuna waliobikiriwa wakawa vicheche pia
Kama unae unamjua nisave broMkuu sijui kama utafanikiwa... humu JF?
Asante bro
Hit me dm tuyajenge mana wewe utanipa mawazo mazuri na maisha. Nakumbuka Niko chuo Kuna Malaya nilikuwa namla Sasa ananishauri nisiwe na demu chuoni baada ya kuwa mkubwa ndio nikajua kwa akili Ile niliona Kama alitaka niwe mteja wake tu.Hakuna anaetak lishangazi huko kwenu 😄😄
Kama una vigezo njooKila lakheri mkuu
Nielezee vizuri wapi pa kuwapataUkitaka kupata bikra kuwa ktomb wa vile vibinti vigumu vigumu mpaka mwsho wa siku utampata bikra
Bikra hatafutwi kwa bandiko
Kwa hiyo age sijui kama wanatumia jf!Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
- awe Muslim
- mweupe
- 19 to 22 years
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
- awe amelelewa kimaadili
- awe tayari kuwa na watoto watatu
- awe kabila lolote
- awe mwembamba itapendeza
Niwapate wapi nipe muongozoKwa hiyo age sijui kama wanatumia jf!
Huwez kuwapata kwa kuwatafuta,kwa vile upo hospital tena kubwa hapo kuna wadada wengi sana wanafika hapoNielezee vizuri wapi pa kuwapata
Bro pale ni ofisini na sisi waajiriwa tunasheria kali sana alafu sitaki kuwa kitombi kiasi hicho ndio nikaona humu naweza kumpata au kuna mtu ana ndugu au rafiki yake mweny hizo sifaHuwez kuwapata kwa kuwatafuta,kwa vile upo hospital tena kubwa hapo kuna wadada wengi sana wanafika hapo
Wewe cha kufanya ni kuwa kitomb tu yaan malaya,kwa vile unapenda wembamba tena waislam hakikisha kila dem unaekutana nae mwenye sifa hzo tena mpole hakiksha unamtongoza mpaka umpate nakuhakikisha kwenye madem 20 hutakosa bikra
Sina hata kigezo kimoja mdogo angu, bikra kwenye wodi ya wazazi🏃♀️Kama una vigezo njoo
Basi kama una rafiki au mdogo wako mwambie nipo hapa nahitaji mkeSina hata kigezo kimoja mdogo angu, bikra kwenye wodi ya wazazi🏃♀️
vItombi ndo huwapata bikra,kama huwez kuwa kitombi ni ngumu kuwapataBro pale ni ofisini na sisi waajiriwa tunasheria kali sana alafu sitaki kuwa kitombi kiasi hicho ndio nikaona humu naweza kumpata au kuna mtu ana ndugu au rafiki yake mweny hizo sifa
😆😆😆😆Sina hata kigezo kimoja mdogo angu, bikra kwenye wodi ya wazazi🏃♀️