Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Hiyo kitu nilikutana nayo kwa dada mmoja kitambo sana, miaka mingi imepita.

Kwa sasa labda utampata mbinguni, bikra siku hizi mmmmh! Kila la kheri
 
vItombi ndo huwapata bikra,kama huwez kuwa kitombi ni ngumu kuwapata
Kwahiyo bro unamaanisha nipelekee moto kwa kila demu? Sio kwamba kuna maeneo naweza kubahatisha au muonekano hauwezi kuonyesha kama ni bikra au sio bikra?
 
Hivi kuna siri gani ipo kati ya Waisilamu na wanawake wenye Bikira?

Picha inaanza mtume alioa binti wa miaka9 ili apate bikira.

Huko peponi kuna wanawake 72 bikira kwa kila muisilamu.

Nashindwa kuelewa 🙄🙄
 
Kama UPO serious jaribu familia za waharabu nakuhakikishia utapata vizuri .


Pia kuna Dada naweza kukupa Tag japo yeye dini muislam
 
Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo :

  • awe Muslim
  • mweupe
  • 19 to 22 years
-asiwe na kazi wala biashara yoyote
  • awe amelelewa kimaadili
  • awe tayari kuwa na watoto watatu
  • awe kabila lolote
  • awe mwembamba itapendeza
NJOO PM TUYAJENGE EWE FUTURE WIFE
Hakunaga
 
Back
Top Bottom