Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

😄😄😄Hahha kwetu hamna hiyo
Mamaangu alinambia haji kufanya huo upuuz anataka nichague mwenyew Ili siku nikirud kulalamika aniulize mama si ulichagua mwenyew Sasa Rudi kapambane 😂😂😂
Nishapata assurance Sasa ngoja nije tupike mandazi, ngoja nipite Buchani nichukue kuku wa kienyeji
 
Kwanini unatanguliza kigezo cha kazi kwenye hospitali nzuri? Sijui lengo la kuadmit hivyo ila tusipende kuwa open mapema hivyo.
NB. Bikra zinatengenezwa.
 
Wewe bikra ni muhimu mno angalia bibi waliolewa bila ya kujua mme ,walizaa baba zetu wetu wote wakamfanana Babu na mama ivyo ivyo akina mama waliozaliwa miaka 50 kurudi nyuma.
Angalia wewe unaye sema kuwa bikra sio muhimu angalia kizazi chenu hata watt wenu hawana maadili.

Nikuambie tu ukiwa na bikra mwanaume anaku value mara mbili Kama ulikuwa huna bikra.
Wewe thamani yako ni bikra basi, hata Kama upo Kama mtt hujui kusoma,Wala hujui kutafuta pesa. Utaolewa na mwanaume mwenye kukupa mahitaji mpaka unakufa ama kuzeeka.
Check kule south Sudan binti anatolewa 530 cows na kitu Kama milioni 70 yaani kisa tu akatokea familia ya maadili na bikra anayo.
Huyo mwanamke haitakiwi hamjui mwanaume mwingine zaidi ya huyo mmewe ndio akafundishwa ivyo na sio nyie mnaangalia pesa hata utapitiwa na mbwa kisa ni pesa tu ndizo unazojali
Uko sahihi.
 
Mwanao akizaliwa ndo bikira halisi, labda huyo wengine unakutana nao kumbe ana miezi 6 anakamulia ndimu
 
Back
Top Bottom