Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 354
- 372
mwambieHumu huwezi kumpata hata ukikesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwambieHumu huwezi kumpata hata ukikesha
🤣🤣🤣Anameza nini mkuu vidonge au?Nna mwaka wa ishirini huu cjakutana na bikra?! Kila unaekutana nae ana meza tuu
Huwez kubahatisha mara moja tu,wewe tomba tu wale unaohis ni bikira mpaka utampataKwahiyo bro unamaanisha nipelekee moto kwa kila demu? Sio kwamba kuna maeneo naweza kubahatisha au muonekano hauwezi kuonyesha kama ni bikra au sio bikra?
Mie namtafuta mwaka wa 15 huu, kila la kheriKama unae unamjua nisave bro
Ukituma MTU unapata hasa watu wenye muonekano wa kistaharabu .Kwanini azingue au hataki kuolewa? Familia za kiarabu vigumu kuoa huko
ushauri wako mkuuMwanaume ha trade bikra katika mahusiano,mwanaume thamani yake anaitafuta Kama huyu akasoma akaajiriwa ivyo uhakika wa mke wake kula na kulala nk upo.
Unadhani mwanamke katika mahusiano unachangia nini zaidi ya mwili wako so mwili wako inabidi uwe na thamani kweli kweli mojawapo kinachoutambulisha uthamani wake ni bikra,jiulize why me hakuumbwa na sealed ya ubikra.
Yaani mwanamke zaidi ya mwili wako huna cha kuchangia kwenye mahusiano ,mwili wako uzae na mwanaume at00mbe basi.
Mwanaume anaangalia jana yako Ila wewe unaangalia kesho ya mwanaume.
Just tell me what are you trading in relationship a part from your body, can you build even a house or pay one year rented house.
Wakati utaanza kulia wewe mpaka watu wote watajua unalipa wewe.
Thamani yako wewe ni mwili yaani mwili ambao hata hukuumia kuupata ilitakiwa uwe mwaminifu mpaka mme wako atakapoufungua
wewe mwenyew huna bikra alafu unakuja kutafuta mwenye bikra God. damnNdio bro, ila nashangaa wengine wanakuja kwa hasira na matusi, naamini kila mmoja anachagua akipendacho mimi nimapenda niwe na mke niliemkuta akiwa bikra na mwingine atakuambia anapenda aoe mwanamke aliewahi kutoa mimba or mzoefu wa show,,, ni kila mmoja na maamuzi yake ni kama mwanamke tu anapochagua mwanaume mwenye hela, handsome, etc
Asante kwa maoniwewe mwenyew huna bikra alafu unakuja kutafuta mwenye bikra God. damn
Pambana utapata tuMie namtafuta mwaka wa 15 huu, kila la kheri
Kuna shida gani? Wewe huna?Mod ameruhusu vp hii uzi kufika hapa. Hongera sana modi kwa kuruhusu haya maudhui
Tupo huku kijijin mbambadu😄😄Kwani hiyo generation bado ipo hai?
Weka lipa namba ya TTCL uje kuenjoy mwaka mpya mjini.....fanya gafla ili tukafanye manunuzi ya codeTupo huku kijijin mbambadu😄😄
Ndo nilikuwa naangalia uwezekano wa kuja mjini😂
Kha ttcl Tena😂😂Weka lipa namba ya TTCL uje kuenjoy mwaka mpya mjini.....fanya gafla ili tukafanye manunuzi ya code
Mm nimezeeka sana aisee mvi kama zoteHit me dm tuyajenge mana wewe utanipa mawazo mazuri na maisha. Nakumbuka Niko chuo Kuna Malaya nilikuwa namla Sasa ananishauri nisiwe na demu chuoni baada ya kuwa mkubwa ndio nikajua kwa akili Ile niliona Kama alitaka niwe mteja wake tu.
Kumbe alinipendA nitulize akili nisome nisiwaze demu wangu jamani. Nashukuru mno
Huu sio mtego waungwana?😄Kha ttcl Tena😂😂
Njoo tupike maandazi sio kupenda kula tu
😄😄😄Hahha kwetu hamna hiyoHuu sio mtego waungwana?😄
Nisije nikalainika nikachoma ubani nikasaliti kamati