Natafuta mwanamke wa kiislamu wa kuzaa nae

Kupata watoto wa Kike tu kwenye Ndoa, Angalia chanzo Cha tatizo Kwanini umepata watoto wa KIKE 4, Hebu wajuzi wa SoMo la Balojia mtusadie kwenye zile XY zenu za O level BIOLOGY. Maana unaweza pata watoto wengine wa kike kama hujafahamu sababu ya wewe kuwa na hao watoto
 
Kwamba unawachukuliaje dada zetu? Waislam wanaume tunapaswa kuwa na ghera mno na kuwalinda dada zetu kama tulivyofundishwa. Tunajisahau sana. Imagine unamlea binti yako au dada yako katika maadili mazuri ya Uislam kisha kuna mtu tu wa hovyo anamtafuta amharibie makusudi.
 
Sawa. Hata hivyo motivation yangu ni idadi ya watoto kabla sijafa na sio jinsi. Ila kusema kweli natamani kuwa na mtoto wa kiume kwenye himaya yangu.
 
Nimechagua muislamu Kwa sababu maalum. Mimi sio mwislamu.
 
Katafute makanyagio huko.

Hakuna mwanamke wa Kiislam wa sampuli hiyo.

Punguani wahed.
 
Hii kwa sisi Waislam tunaita ni Zinna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…