TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,199
- 3,307
- Thread starter
-
- #121
Nimeona kama unani enjoy tu mkuu, ndio maana nimejibu kiufupi. Wengi wananikejeli tu hapa, nimeona na wewe umekuja kwa angle hizo hizo.Akhaaaaaaaaaa!!!!! mimi nilitaka nikusaidie kukupa pisi kali sasa swali kujibu umeona gumu
Hakuna mwanamke mwenye hizo sifa na akawa fala kuja PM. Wadangaji utawapata ila siyo mwenye hizo sifa.Sitaki kwenda huko wanakojiuza kwa sababu hawana baadhi ya qualities ambazo nahitaji kama vile exposure na uelewa mpana wa masuala mbalimbali. Pia, sihitaji mwanamke anaejiuza.
Si kweli mkuu.Hakuna mwanamke mwenye hizo sifa na akawa fala kuja PM. Wadangaji utawapata ila siyo mwenye hizo sifa.
Ungekua unamaanisha hiyo comment ungeniulizia PM.Hee... ningekua nakuenjoy nisingetumia mda kuandika hio comment ndefu aisee [emoji2297]
Kila la kheri bossSi kweli mkuu.
Shukrani sana mkuu.Kila la kheri boss
Mkuu seriously mtu akitaka kujirusha na stranger na no feelings attached,unaweza kuprovide/connect huo mchongo?,tukuweke kwenye notebook zetu kabisaHee... ningekua nakuenjoy nisingetumia mda kuandika hio comment ndefu aisee [emoji2297]
Anazingua tu huyu.Mkuu seriously mtu akitaka kujirusha na stranger na no feelings attached,unaweza kuprovide/connect huo mchongo?,tukuweke kwenye notebook zetu kabisa
Kwa hiyo namba ya hiyo pisi ungenipea hapa hapa?Yani tangu nianze jf sijawahi kumfata mtu Pm [emoji2297] hio kazi siiwezi, umeuliza hapa ndio mana tumejibu hapa
eennhe bata ninini kwako?Pesa ya kula bata ipo mkuu
Ahsante kwa ushauri mkuu, japokua umenilaumu pia kwenye ushauri wako.Tatizo ni Mindset ,Umeweka fikra zako sana kwenye ngono ,hiyo miezi mitatu ni rahisi kuvumilia,ukitoka kwenye shughuli zako jitahidi kufanya mazoezi ya kujichosha,muda ambao upo idle jitahidi kwenda kuangalia mpira uwanjani ,fanya mazoezi ya jogging/kukimbia....Ukikaa idle idle ndio mawazo ya ngono yanakuja.....Utakuja kupata maukimwi na kwenda kumpa mpenzi wako huyo wa mwanza.
Kwenda sehemu za starehe kama baa au night clubs, kunywa bia/wine/juice, kula nyama choma safi.... Listening to loud music. Kuenjoy hapa na pale.eennhe bata ninini kwako?
Mhhh haya kila la heri! kweli neno bata kila mtu ana tafsiri yake.Kwenda sehemu za starehe kama baa au night clubs, kunywa bia/wine/juice, kula nyama choma safi.... Listening to loud music. Kuenjoy hapa na pale.
Hayo pekee ndiyo yamekufanya kuishi bila mke.Ndio mkuu. Yaani we have fun,gharama ya fun nailipia sio ishu, ila isiwe tena anaanza vibomu mara leo gesi imeisha, kesho kodi imeisha, keshokutwa hela ya kusuka. Such stuffs zinakera. Ila kumpa support hapa na pale sio ishu.
Yeah mkuu, ni subjective.Mhhh haya kila la heri! kweli neno bata kila mtu ana tafsiri yake.
Hamna kitu mkuu. I can spot a sarcastic person from a mile.ungefika huko sasa ndo ungejua mkuu.
Mchumba yupo mkuu huyo ndo permanent, namhudumia kwa yote hayo na zaidi, shida yuko mbali na nilipo.Hayo pekee ndiyo yamekufanya kuishi bila mke.
Choyo ni kilema kama hujui.
Nashukuru sana. All the best katika mishe mishe zako pia.Eeeh Yehova ; Kwa mara ya kwanza nmekua-misunderstood [emoji114]
Okay Samahani sana mkuu baraka zikawe mbele yako utimiziwe hitaji la moyo wako.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mchumba yupo mkuu huyo ndo permanent, namhudumia kwa yote hayo na zaidi, shida yuko mbali na nilipo.
Hapa natafuta wa kupunguziana nae stress tu.