Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hii inaitwa PPV, au pay per view!, aweze kukuhudumia!?....labda nikijisikia nije nakamua nalipa nasepa,baada ya wiki tena,na Tena na TenaVigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Vyuma vimekazaUlijua umeokota dodo πΉπΉ
Anatafutwa sponsor hapa oohh..!!
Asante kwa maoni,,Hii inaitwa PPV, au pay per view!, aweze kukuhudumia!?....labda nikijisikia nije nakamua nalipa nasepa,baada ya wiki tena,na Tena na Tena
KWahiyo unataka take awayπππVigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hapo anamaanisha anatafuta mwanaume ambaye atakuwa na share kadhaa tu [ stakeholder], kuna wengine ambao nao wana share zao.Kwanini usitafute wa kuolewa naye kuliko wa kubadilishana naye mawazo? Huoni unapoteza muda
Hebu fanya urekebishe kichwa cha habari au naelezo ya ndani. Maana hueleweki unataka nini.Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Hapana mkuu sijaweka vigezo mimiBasi itakua umeweka vigezo na mashaerti vya juu sana. Watu wa kubadilishana mawazo mbona kama wengi sana hapa?
Ngoja niwatafute wanivushe hapa aiseeπ₯²
MnataKa mhudumiane?2. Uwe na chanzo cha uhakika cha kipato
Tena ni veteran wa hizo kaz sema leo ameamua kushare walau ka uzoefu na sisHapa mnahangaika na Malaya mkongwe.
Sema una taka tu uwe hawara wang mm vigezo vyote hivo nime timiza njoo Dm unipe namba Yako ya simu nikutumie pesa ya wigi na shopping nataka siku tutakayo panga kuonana uwe umependeza machoni pangu.Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Na hataki kustaafu, anataka kuendelea.Tena ni veteran wa hizo kaz sema leo ameamua kushare walau ka uzoefu na sis
ππππππππYaani kubadilishana mawazo tu unataka kulipwa.
Kipato kinaingiaje kwenye kubadirishana mawazo mbona unatuchanganyaVigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Ni mawazo gani mnabadilishana yanayohitaji vigezo vya watoto? Ni mawazo ya kufunga ndoa ndio mnabadilishana?Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Mkuu haya maisha ukijibamiza kwa TASAF lazima ufe masikini. Kwahiyo atleast awe anaweza kujikimu kwa mahitaji yake ya msingiMnataKa mhudumiane?