Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Wewe ni mwanamke mtulivu huna pupa kabisa,kwa comment yangu nilitaraji eruption,lakini upo cool!,posible ulitendwa vibaya,hivyo hutaki mambo ya kugandana na mtu!,upo sawa kabisa!,bahati njema kwako!Asante kwa maoni,,
Kwa tz nimehakikisha hamna ushirikiano wa namna hiyo,kwani wao hata maana ya Uzalendo hawalijui!Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Kwanini akuhudumie? Kwani kubadilishana mawazo unalipisha? Mawazo hayo unayolipisha ni adimu sana au ni prostitution in disguise?Vigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Toka zako wewe si umefunga 40 juzi tu hapa 😹😹Umri umenikwamisha mimi kijana barobaro ataniharibia uvulana wangu 😅
Kigezo hiki kina ukakasi.Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
Na nyie wavulana siku hizi mna hofu ya kuharibiwa uvulana wenu?,basi hongera sana,pia mbegu zako ni za thamani sana acha kuzipoteza na kuzitupa vyooni!,zamani kuna waliopiga mahesabu,goli moja ni sana na nguvu ya kutembea kilometer 10,linda mbegu zako!Umri umenikwamisha mimi kijana barobaro ataniharibia uvulana wangu 😅
kho kho kho oooTutadumu kwa miaka 7000.
Nyambafu zao!
Hata mimi nimeshangaa sana. Kichwa cha habari na undani wa habari tofauti kabisa! Huu ni mfano halisi wa GOLD DIGGER.Yaani kubadilishana mawazo tu unataka kulipwa.
Kisha mmbadilishane......vingineeVigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Anapiga mzigo na kuondoka sio kukaa hapo kazi ipo mtaenda wengi kwa wakati tofauti..Na kasema mwanaume awe anakuja kwake na kuondoka... Hahaha
AnagestNa kasema mwanaume awe anakuja kwake na kuondoka... Hahaha