Wana vipimo? Hebu wasinitishe mie wakwende huko!πDaah we huogopi ile wanaita body count sijui niniππ maana ikiwa juu sana wanasusa
Inawezekana kuwa handle wote pia sio shida zanguππ½Eeeh ndege akimuacha anabaki na kaka huku akitafuta mwingineπΉπΉ#double double
Kumbe tunaelewana vizuriiiiKabisa aisee, hakuna kuweka mayai yote sehemu moja. Diversification ππ
Karibuni sanaπ₯Na mimi nakuja na mwingine π€£
NitawaulizaππWana vipimo? Hebu wasinitiahe mie wakwende huko!π
Sifanyi makosa hayo kabisa!Keeping her options openπππ
Hakuna kujifunga na option moja tu
Watoto wasiozidi wawili wanahusikaje kwenye "kubadilishana mawazo". Shadeeya nikwamueVigezo vya mwenza ninayemtafuta:
Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija kwangu na kuondoka.
- Awe na watoto wasiozidi wawili.
- Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45.
- Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle).
Una namba zao?πNitawaulizaππ
Una namba zao?π
Na viunga vyakeKila la kheri kwa wakazi wa Dar es Salaam kuchangamkia fursa hii
Si na wewe uingie sokoni kusaka? ukipata unamgawia mwenzio mmoja.Ukipata wawili nigawie mmoja!π€Έπ½ββοΈ
Usitumie nguvu kuwatafuta wanaume urembo wako unatoshaTunajaribu bahatiπ
KabisaNa viunga vyake
By indirect wayUnajiuza??
Nitawadhibiti!πππππ wengine niko nao hapa
Hawanitaki mkuu, natumia shortcut kumpata!πSi na wewe uingie sokoni kusaka? ukipata unamgawia mwenzio mmoja.
Kwani nimetumia nguvu sana?Usitumie nguvu kuwatafuta wanaume urembo wako unatosha