Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

Gentle man hawezi kufanya huo usengè
 
Aliyeoa anapokelewa?
 
Haya ndo mambo anayoyasemaga Natafuta Ajira , mambo ya kutaka 50/50 huku akitaka kufaidika na huo wanaouita "mfumo dume" huu uzi ingekua Me kaandika bila shaka angeenda direct anataka mchuchu na sifa hizo.

Sasa bibie anataka mume ila anakuja na gia ya mshauri, huyo mshauri aweze kumhudumia, wakuu mshauri si huwa analipwa kwa huduma yake ya ushauri, how comes mshauriwa akalipwa na mshauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…