Natafuta mwanaume wa kunioa 2024

Kwa umri, wako, wa, kukuoa ni kuanzia 41 kwenda juu, na wengi wameishaoa, hata aliyesoma mpaka chuo, ataoa kuanzia 33+, na, hata oa anayelingana nae, atataka binti awe 10yrs younger!
Sasa, dear itabidi hata sie wenye watoto Saba kila mmoja na mama take inabidi utupe "consideration"
 
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na mtoto asizidi mmoja, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)
Hapa huwa mnakosea na inaonekana unatafuta mtu wa kukusaidia majukumu.
Maisha siyo rahisi kama unavyofikiria na ukumbuke pesa inapatikana kwa kufanya Kazi
Hayupo mwanaume ambaye ataishi bila kufanya kazi na kwa vigezo hivyo, utapata wa hit and run.
Hata mimi, siwezi kuja pm wala kukuoa kwasababu unanifundisha majukumu yangu na ukumbuke suala la ridhiki hajipangii mtu. Kuna kesho, km upo na mimi kwasababu nina shughuli yoyote na ni mpambanaji. Kuna kuugua au mambo kwenda mrama, si utanikimbia?
Wewe tafuta mwanaume bila kuweka vigezo, na anza kuchuja kimya kimya mpk umpate anayekidhi vigezo vyako
 
Kuna wadogo zako wachaga wanatusumbua huku kisa vijana wahehe... Tunawabembeleza tuwaoe...wanasema Wana watu wao... Unawashaulije
 
Nieleweshe hiyo Trible mchagga ni nini.
Pili hii awe mpambanaji mtafutaji, biashara zina msimu akikwama ndoa inayeyuka, ndiyo hivyo.
 
Jah bless
 
Kilakitu kina wakat wake kadri Mungu anavopanga Kuna walioolewa mapema sana lkn sahiz wameshapeana talaka
Ila kwa umri huu wa miaka 31+ doh!
Aiseee hapa upambane,katika mpira ndio twaita dakika za lala salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…