Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwa nini unataka mwenye Masters Degree ili hali wewe una Bachelor Degree?Habari Natafuta rafiki wakike ambaye anajitambua,baadaye ajekua mke wanguu baada ya kufahamiana,umri wangu ni miaka 32,elimu yangu bachelor degree,ni mfanyakazi,nipo dar,mkristu,mwenyeji wa Tabora,
Sifa za mwanamke nimtakaye,awe na elimu kuanzia masters na kuendelea,awe tyr kupima HIV,awe tyr kuishi mahari popote,,Sina vigezo vingi.Kwa mawasiliano zaidi 0689425236 au pm.