Habari wanajamvi poleni na uchovu,,mimi ni kijana 26 yrs,ni mfanyakazi serikalini muda wa kazi jumatatu mpaka ijumaa nakuwa busy ila sio saana,nahitaji marafiki wa kushahuliana mambo mazuri na hata ushauri wa maisha,pia nahitaji saana marafiki wakweli na wahaminifu.so nahitaji watu ambao wkend wapo off ili tupate muda mwingi wa kupiga story,kutembeleana,kwenda fukwe Za bahari na ku enjoy effectively,Mimi nina usafiri so kwa marafiki wanaokaa DSM itapendeZa saana.Mimi ninaishi Mbezi Africana, kwa mawasiliano njoo PM au 0622109759.