Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Unataka ubadilishane nao mawazo gani hayo ambayo wa mtaani kwenu umeshindwa badilishana nao.
 
Cha msingi ni
255753974899_status_d14b83def1cc4aa2adcd6f7f08f5c364.jpeg
 
Salam aleikum ndugu na jamaa.Namatumain makubwa kuwa mko salama na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida.

Moja moja kwa moja nijikite kwenye lengo la chapisho hili.Mimi ni kijana wa Kiume umri ni miaka 27 mweusi kiasi natafuta rafiki wa kike awe mmama au mdada mwenye umri kuanzia miaka 30 na kuendelea kwa lengo la urafiki.Kwa mmama yoyote alieko interested kuwa rafiki angu asisite kunicheki PM.

NB;KWA AJIRI YA URAFIKI.
 
Back
Top Bottom