Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Write your reply...mkuu masters wengi utakuta umri umeenda sana either hakosi katoto hata kamoja

wengi wanakuwa na sura za baba zao, mademu wazuri wengi wanaishia bachelor halafu demu zenye chura nyingi zinakuwa na diploma au nyingine mission Town full kudanga
Ha ha ha nipambane niende hili nikamilike sura ya baba.
 
Mzee inamana huko kazini, mtaani, kanisani, msikitini, sokoni na kwengineko umekosa kabisa wa kumuoa na je wa uku mitandaoni utawaweza kweli
 
Mjomba paschal kwanini usirudi nyumbani Kuja kuoa mbona huku Kuna warembo alafu mjomba nayule mchumba wako mliachana kwani?
 
Wakuu mm huku n mgeni ..nimekua visitor kwa mda ila nimeingia rasmi sasa....natafuta rafiki wa kike mwenye 20_28 umri...sichagui dini wala kabila ...
#ahsanteJF
FB_IMG_15621783972477997.jpeg
 
Wakuu mm huku n mgeni ..nimekua visitor kwa mda ila nimeingia rasmi sasa....natafuta rafiki wa kike mwenye 20_28 umri...sichagui dini wala kabila ...
#ahsanteJFView attachment 1153551
Ahsante kwa kuweka picha, ili utambulisho wako ukamilike, weka.

-Jina lako halisi
- Namba ya simu
-Umri wako
-Sehemu unapoishi

Hapo msichana atakupata kwa haraka
 
Back
Top Bottom