Kwa nini unataka mwenye Masters Degree ili hali wewe una Bachelor Degree?Habari Natafuta rafiki wakike ambaye anajitambua,baadaye ajekua mke wanguu baada ya kufahamiana,umri wangu ni miaka 32,elimu yangu bachelor degree,ni mfanyakazi,nipo dar,mkristu,mwenyeji wa Tabora,
Sifa za mwanamke nimtakaye,awe na elimu kuanzia masters na kuendelea,awe tyr kupima HIV,awe tyr kuishi mahari popote,,Sina vigezo vingi.Kwa mawasiliano zaidi 0689425236 au pm.
Diploma tukae pembeni sio..😁Habari Natafuta rafiki wakike ambaye anajitambua,baadaye ajekua mke wanguu baada ya kufahamiana,umri wangu ni miaka 32,elimu yangu bachelor degree,ni mfanyakazi,nipo dar,mkristu,mwenyeji wa Tabora,
Sifa za mwanamke nimtakaye,awe na elimu kuanzia masters na kuendelea,awe tyr kupima HIV,awe tyr kuishi mahari popote,,Sina vigezo vingi.Kwa mawasiliano zaidi 0689425236 au pm.
Diploma tukae pembeni sio..[emoji16]
Certificate ni comment wapi jaman?
Comment kwa @Nyekundu ya bibi
Ndo level yangu eeeh aje kuniwowa
Mleta mada atakuwa ana bachelor ya mafuta ya koroshow!mimi nina Phd kabisaa ila siwezi kuishi mahari popote
Huhuhuhu.mimi nina Phd kabisaa ila siwezi kuishi mahari popote
Kama yupo aje pm tuyajenge au anitafute kwa namba,muda ni mali✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️ kwani nipo serious na nsjitsmbuaHabari Natafuta rafiki wakike ambaye anajitambua,baadaye ajekua mke wanguu baada ya kufahamiana,umri wangu ni miaka 32,elimu yangu bachelor degree,ni mfanyakazi,nipo dar,mkristu,mwenyeji wa Tabora,
Sifa za mwanamke nimtakaye,awe na elimu kuanzia masters na kuendelea,awe tyr kupima HIV,awe tyr kuishi mahari popote,,Sina vigezo vingi.Kwa mawasiliano zaidi 0689425236 au pm.
Wenye form 4 tunapita hivi
mnaenda wapi badala ya kushinda darasani msome na mwezi wa 11 mnafanya mtihani wa mwisho