Natafuta rafiki wa kike

Ha ha ha nipambane niende hili nikamilike sura ya baba.
 
Mzee inamana huko kazini, mtaani, kanisani, msikitini, sokoni na kwengineko umekosa kabisa wa kumuoa na je wa uku mitandaoni utawaweza kweli
 
Mjomba paschal kwanini usirudi nyumbani Kuja kuoa mbona huku Kuna warembo alafu mjomba nayule mchumba wako mliachana kwani?
 
Wakuu mm huku n mgeni ..nimekua visitor kwa mda ila nimeingia rasmi sasa....natafuta rafiki wa kike mwenye 20_28 umri...sichagui dini wala kabila ...
#ahsanteJF
 
Wakuu mm huku n mgeni ..nimekua visitor kwa mda ila nimeingia rasmi sasa....natafuta rafiki wa kike mwenye 20_28 umri...sichagui dini wala kabila ...
#ahsanteJFView attachment 1153551
Ahsante kwa kuweka picha, ili utambulisho wako ukamilike, weka.

-Jina lako halisi
- Namba ya simu
-Umri wako
-Sehemu unapoishi

Hapo msichana atakupata kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…