Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike wa kuchati naye, kuhusu mengine ni makubaliano yetu Ila sio lazima mapenzi kama itatokea nikamgusia achukulie poa ikiwa hapendi.
 
Mmmh unataka uwafanye nini marafiki wa kike.mabaharia wameisha?
 
mkuu kuna uchaguzi mwsho wa mwaka labda ungewaza kuchukua fomu (udiwani) na sio kutafuta rafk wa kike
 
Mimi ni kijana wa miaka 25.
Natafuta rafiki wa kike kwa ajili ya kubadilishana mawazo na ikipendeza awe mchumba na hatimaye mke.

Nina elimu kiwango cha degree, na nina kazi.

Awe:
Mweupe au maji ya kunde
Umri:19-24
Mchamungu
Mpole, mtaratibu asiyependa makuu
Awe tayari kukutana, nipo Dar es Salaam

Kwa yeyote aliye tayari anitumie message (PM)
 
Na wewe waelezee venye ulivyo ili wakusaminishe.
ie:
Mrefu
Mfupi
Mnene
Mwembamba
Waduara
Una kitambi
Una mguu at least wa kuvalia pensi
Unadrive
Unafuga mauchebe
n.k
 
Habari humu ndani.

Nisiwe msemaji sana ukizingatia sio mwanasiasa.

Natafuta rafiki wa kiume.

Kwauchache nina upenzi na vitu kama ifuatavyo.

Vitabu ( Novels- laws, espionage, non-fiction, science fiction)

Meditation, Jogging, Gardening, Fosbury flops, Skiing, Travel and swimming.

Strictly man friend not otherwise.

Waiting for response.

PS: My gender is MALE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…