Natafuta rafiki wa kike

Na wewe waelezee venye ulivyo ili wakusaminishe.
ie:
Mrefu
Mfupi
Mnene
Mwembamba
Waduara
Una kitambi
Una mguu at least wa kuvalia pensi
Unadrive
Unafuga mauchebe
n.k
Hizo nilizotaja ni preliminary, the rest ambaye yupo interested atapata kuzifahamu
 
Dah mwanangu uko mtaani huna washikaji adi utafute rafiki wa kiume uku mtandaoni..

Inakuaje apo..
 
Unatafuta Vizinga?
 
am here
napenda rafiki mchangamfu wa kubadili mawazo
napenda kusoma vitabu pia
napenda music kusikiliza
pm me
 
Ukiona ME anatafuta ME ati kwa kigezo cha urafiki I hv lot's of doubt kwamba una hobi ya kuogelea kwa hiyo unataka kwenda beach mkaogelee na dume lenzio! Hapa kuna mtu ataka chunguliwa JICHO
 
Madam, HAMNAGA URAFIKI, STRICTLY FRIENDS kati ya mwanaume na mwanamke. Wanawake mnaweza ila mwaaume ujue anakulia taiming...sema strictly friends but sex inclusive..
 
Madam, HAMNAGA URAFIKI, STRICTLY FRIENDS kati ya mwanaume na mwanamke. Wanawake mnaweza ila mwaaume ujue anakulia taiming...sema strictly friends but sex inclusive..
Dah, kumbe mleta uzi ni male pia. Aiseeee...
Hapa kuna harufu ya tope.
 
Natafuta rafiki ambae ntawaza kufikia kwake awe anaishi dar ntakaa Kama wiki1 ama mbili ntakua Nisha pata makazi ya kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…