Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Mbona sifa zako hujaweka au unafikiri sisi wanaune ni zoa zoa tu
Namba 1 imenikosesha mke. [emoji28][emoji28][emoji28]Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.
SIFA
1. Umri kati ya 30 - 38 only
2. Awe amefika chuo kikuu au college
3. Asiwe mtu mwongo, asiwe mtu serious sana (easy taker)
4. Awe gentle na mcheshi
5. Asiwe ameajiriwa namaanisha awe mtafutaji wa hapa na pale, zaidi awe mkulima mzoefu
6. Awe mrefu kiasi, mweusi mwenye kujua kumuenzi mwanamke ila asiwe mtu wa ngono sana. Awe mvumilivu na msikilizaji zaidi.
7. Awe na mtoto mmoja au wawili tu; asiwe ameoa ila awe ni mtu anayehudumia familia yake (ya mama na watoto wake mwenyewe)
8. Awe msafi wa nguo, mwili na mwenye kujipenda.
9. Asiwe mnywaji wa pombe.
10. ASIWE MHAYA au MZAWA WA MOROGORO, TANGA (mtanisamehe).
Mwisho kabisa awe mtu mwenye juhudi na maono makubwa na mwenye kusimamia maamuzi yake.
ASANTENI WANA JF.
Akukujibu, please, ni- tag.Na huyu bwanako kaishia wapi?
Simwelewi
Mwanaume wangu amekua akiniimbia kuniolea mke mdogo eti mara oooh nataka kuzaa mtoto mwingne ili walingane nahuyu wamienzi miwili mara hoo sijui iliakusaidie anayumba yumba simwelewi na mara nying amekua akinitajia maex zake licha yakuto kujiona ni mzee sasa.Nikimpa ruksa yakuchepuka anakasirika...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.
SIFA
1. Umri kati ya 30 - 38 only
2. Awe amefika chuo kikuu au college
3. Asiwe mtu mwongo, asiwe mtu serious sana (easy taker)
4. Awe gentle na mcheshi
5. Asiwe ameajiriwa namaanisha awe mtafutaji wa hapa na pale, zaidi awe mkulima mzoefu
6. Awe mrefu kiasi, mweusi mwenye kujua kumuenzi mwanamke ila asiwe mtu wa ngono sana. Awe mvumilivu na msikilizaji zaidi.
7. Awe na mtoto mmoja au wawili tu; asiwe ameoa ila awe ni mtu anayehudumia familia yake (ya mama na watoto wake mwenyewe)
8. Awe msafi wa nguo, mwili na mwenye kujipenda.
9. Asiwe mnywaji wa pombe.
10. ASIWE MHAYA au MZAWA WA MOROGORO, TANGA (mtanisamehe).
Mwisho kabisa awe mtu mwenye juhudi na maono makubwa na mwenye kusimamia maamuzi yake.
ASANTENI WANA JF.
Hamna discount ya kuondolewa baadhi ya vigezo!? Hata ofa ya sikukuu?
Njoo pmKama kichwa cha habari hapo juu kinavojieleza.
SIFA
1. Umri kati ya 30 - 38 only
2. Awe amefika chuo kikuu au college
3. Asiwe mtu mwongo, asiwe mtu serious sana (easy taker)
4. Awe gentle na mcheshi
5. Asiwe ameajiriwa namaanisha awe mtafutaji wa hapa na pale, zaidi awe mkulima mzoefu
6. Awe mrefu kiasi, mweusi mwenye kujua kumuenzi mwanamke ila asiwe mtu wa ngono sana. Awe mvumilivu na msikilizaji zaidi.
7. Awe na mtoto mmoja au wawili tu; asiwe ameoa ila awe ni mtu anayehudumia familia yake (ya mama na watoto wake mwenyewe)
8. Awe msafi wa nguo, mwili na mwenye kujipenda.
9. Asiwe mnywaji wa pombe.
10. ASIWE MHAYA au MZAWA WA MOROGORO, TANGA (mtanisamehe).
Mwisho kabisa awe mtu mwenye juhudi na maono makubwa na mwenye kusimamia maamuzi yake.
ASANTENI WANA JF.
Unapatikana wapi wewe ndgRafiki tu