Shukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nilizotaja ni preliminary, the rest ambaye yupo interested atapata kuzifahamuNa wewe waelezee venye ulivyo ili wakusaminishe.
ie:
Mrefu
Mfupi
Mnene
Mwembamba
Waduara
Una kitambi
Una mguu at least wa kuvalia pensi
Unadrive
Unafuga mauchebe
n.k
Akili yako inaelekea kubaya.Dunia inaelekea kubaya
Kuna sheria au mkataba nime sign mahali unaonifunga kutotafuta marafiki hapa Jamii forums?Dah mwanangu uko mtaani huna washikaji adi utafute rafiki wa kiume uku mtandaoni..
Inakuaje apo..
Mimi ni kijana wa miaka 25.
Natafuta rafiki wa kike kwa ajili ya kubadilishana mawazo na ikipendeza awe mchumba na hatimaye mke.
Nina elimu kiwango cha degree, na nina kazi.
Awe:
Mweupe au maji ya kunde
Umri:19-24
Mchamungu
Mpole, mtaratibu asiyependa makuu
Awe tayari kukutana, nipo Dar es Salaam
Kwa yeyote aliye tayari anitumie message (PM)
Madam, HAMNAGA URAFIKI, STRICTLY FRIENDS kati ya mwanaume na mwanamke. Wanawake mnaweza ila mwaaume ujue anakulia taiming...sema strictly friends but sex inclusive..Habari humu ndani.
Nisiwe msemaji sana ukizingatia sio mwanasiasa.
Natafuta rafiki wa kiume.
Kwauchache nina upenzi na vitu kama ifuatavyo.
Vitabu ( Novels- laws, espionage, non-fiction, science fiction)
Meditation, Jogging, Gardening, Fosbury flops, Skiing, Travel and swimming.
Strictly man friend not otherwise.
Waiting for response.
PS: My gender is MALE.
Dah, kumbe mleta uzi ni male pia. Aiseeee...Madam, HAMNAGA URAFIKI, STRICTLY FRIENDS kati ya mwanaume na mwanamke. Wanawake mnaweza ila mwaaume ujue anakulia taiming...sema strictly friends but sex inclusive..
Nitakucheki mkuu.am here
napenda rafiki mchangamfu wa kubadili mawazo
napenda kusoma vitabu pia
napenda music kusikiliza
pm me
Ha ha ha jamaa una akili sana.Mara chache saana Mwanaumwe kutafuta rafiki wa kiume!!
Men we most to think twice
Itakuwa ndiowewe.Mbona gender ni male sasa au ndowalewale
IringaWee uko wapu kwa sasa?