Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

Kama upo free twende tukaogelee,live band or movie ,kanisani,as you wish katika hayo bagamoyo .
Uwe muhenga
Uwe na constructive ideas,kibiashara,kiuchumi kiafya,politics no
Uwe single but unaweza kuja na mpenzi wako
Mwisho wa maombi Ni saa kumi because with or without you I am going to bagamoyo
Wasifu wangu
Mnenee
Singleee
Muhengaaa

Malipo hela ninayo lakini tutajua cha kufanya sinywi pombe Wala nini sina gharama hata ,itakuwa Ni win win situation





Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua maana ya neno "Muhengaaa"
 
Njoo kwa mhenga mwenzio tuzeeshane wachana na habari za one day!
 
Nipo hapa bado dakika 5 tu nafikiri dirisha litafungwa
 
Nimesoma Yote Ila Sasa Hapo Kwenye Kauli Mbiu Ya Awamu Hii Ya Tano "Win Win Situation " Haa 😅😄😃😁😁
Bwana Bure Hayupo
 
Back
Top Bottom