Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Sijajua maana ya neno "Muhengaaa"Kama upo free twende tukaogelee,live band or movie ,kanisani,as you wish katika hayo bagamoyo .
Uwe muhenga
Uwe na constructive ideas,kibiashara,kiuchumi kiafya,politics no
Uwe single but unaweza kuja na mpenzi wako
Mwisho wa maombi Ni saa kumi because with or without you I am going to bagamoyo
Wasifu wangu
Mnenee
Singleee
Muhengaaa
Malipo hela ninayo lakini tutajua cha kufanya sinywi pombe Wala nini sina gharama hata ,itakuwa Ni win win situation
Sent using Jamii Forums mobile app