Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

Mtumba ambao haujavaliwa? Hii ni mupya hii ni mupya kabisa. Mzee baba hakuna mtumba ambao haujatumika.
aliyekuambia kuwa kuna mtumba ambao haujavaliwa nani

wenzetu wanatoa wanasafisha maduka wanauza sale huko ughaibuni. Mzigo unakuja mpya kabisa

Aisee hii biashara imenikuza. Baba yangu alikuwa muagizaji mtumba. Hivyo tumeuza sana mitumba katika utoto wangu
 
Sahihi mkuu,kule south Africa,wanatengeneza Magari wakati wanayasafirisha, wakati mwingine linapata ajali na huamua kukarabati na kuuza minada ya magari mtumba !
 
Nna mwanangu yuko hapo mtaa twigs kariakoo,
anaitwa groku kanitumia sampo hii
Ukiridhika nayo...nikuunganishe mfanye biashara
 
🤣🤣🤣Hapo penye kutafuna umenikumbusha Kuna kaka mmoja chuo alikuwa anapenda kutuita (mimi na rafiki zangu)masweetie wake,Kuna siku katukuta tunakula akaja naye akaagiza msosi we bwana we kidogo tupaliwe alivyokuwa anatafuna rafikiangu akasema ona anatafuna kama panya jamani nilicheka nikashindwa kuendelea kula 🤣🤣🤣
 
Nyie si watoto slay queens, mimi hutafuna kama nguruwe na aibu mtaona nyie
 
Reactions: ABJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…