BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Unachoma moto? Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaDuuuh mkuu nilikuwa nazo nyingi Sana pamoja na limaashine lake lilikuwa kubwa Kama kabati panya walikuwa wamelishambulia mwezi uliopita nikalichoma moto pamoja na santuri zake zaidi ya 200 yaani ningekupa bure kabisa.
Shikamoo,..Duuuh mkuu nilikuwa nazo nyingi Sana pamoja na limaashine lake lilikuwa kubwa Kama kabati panya walikuwa wamelishambulia mwezi uliopita nikalichoma moto pamoja na santuri zake zaidi ya 200 yaani ningekupa bure kabisa.
...Mkuu Gily, nicheki pm nkupe number ya jamaa ambaye nahisi anazo01 February 2022
Bado natafuta santuri. God bless. .
Weka bei tukupe mzigo13/04/2022
Bado natafuta santuri
Mkuuu vitu adimu hivi, hatuuuzi tunaumbushia enziKwa moja nanunua kwa elfu tano
Mwenye santuri anicheki
Habari
Kwa wale wasiojua masanturi ni nini, Santuri ni kama CD kubwa nyeusi zilikuwa zinatumika kucheza miziki ya zamani. Wengine huyaita masahani, players au gramophone records. Kama unayafahamu au unajua mahali yalipo naomba unitafute kwa PM. .
Kama unazo hizo santuri utaniuzia karibu PM, sharti ziwe katika ubora unaoweza kutumika. Zisiwe zimevunjika, kumegeka au zimekwaruzika juu ya uso wake kwa kuwa sitaweza kupiga nyimbo zake. .
View attachment 1388894
View attachment 1388895
View attachment 1388896
View attachment 1388897