Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Natafuta sehemu nzuri ya kuishi ndani ya Tanzania

Mkuu karibu hapa Didia_lohumbo_Shinyanga Pako mwake Sana
 
Bukoba na mitaa yake ndo sehemu pow Sana ya kuishi Tanzania.

Kwanza maisha ni cheap . Ushawahi ona bodaboda za jero? Sato zinauzwa 1000 chips yai mayai ya kienyeji? Yaani vitu ni cheap kupindukia.
Hali ya hewa na mvua za hapa na pale zinapafanya pawe kijani muda wote yaan sio baridi wala joto.

Bado huduma za kijamii kama Safi na chemichemi kibao
Mji Una beach zote sand ( Miami na kabuhara na kiroyera) pebble ( eco beach) na stone( bunena beach)

Bado gharama za kupanga ziko chini mno.

Bila kusahau watoto wenye mizuka wa kihaya

Baadhi ya mitaa ya bukobaView attachment 1666748View attachment 1666750View attachment 1666751View attachment 1666752View attachment 1666753View attachment 1666754View attachment 1666755View attachment 1666756View attachment 1666757
Unetisha sana mkuu
 
Habari zenu wakuu

Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU

Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!

Karibuni wadau mtiririke


Wewe umeona wapi mfungwa akichagua gereza???---- Tz ni magereza.

Ni ✊🏻 tena.
 
Nakutajia miko ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela
1.mbeya wilaya zote nzuri
2.iringa wilaya zote nzuri
3.morogoro baadhi ya wilaya hasa kilombero , kilosa, mvomero
4.ruvuma, wilaya zote
5.njombe wilaya zote
6.rukwa wilaya zote

Kwanini mikoa hiyo
Ni mikoa ambayo ardhi ina rutuba na chakula cha kutosha na mzunguko wake wa fedha sio wa msimu ni wakati wote.
Mkuu umeisahau mwanza
 
Back
Top Bottom