Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unetisha sana mkuuBukoba na mitaa yake ndo sehemu pow Sana ya kuishi Tanzania.
Kwanza maisha ni cheap . Ushawahi ona bodaboda za jero? Sato zinauzwa 1000 chips yai mayai ya kienyeji? Yaani vitu ni cheap kupindukia.
Hali ya hewa na mvua za hapa na pale zinapafanya pawe kijani muda wote yaan sio baridi wala joto.
Bado huduma za kijamii kama Safi na chemichemi kibao
Mji Una beach zote sand ( Miami na kabuhara na kiroyera) pebble ( eco beach) na stone( bunena beach)
Bado gharama za kupanga ziko chini mno.
Bila kusahau watoto wenye mizuka wa kihaya
Baadhi ya mitaa ya bukobaView attachment 1666748View attachment 1666750View attachment 1666751View attachment 1666752View attachment 1666753View attachment 1666754View attachment 1666755View attachment 1666756View attachment 1666757
NdiyoooooKatavi?
Pazuri sana mkuu hutojutia,yani kama UlayaHuko panatajwa sana
Habari zenu wakuu
Sehemu ninayoitafuta iwe na huduma za muhimu karibu kamavile MAJI, HOSPITAL, UMEME NA MTANDAO WA SIMU UWE UNAKAMATA 4G BILA USUMBUFU
Sehemu hiyo isiwe mkoa wa Dar, Kilimanjaro au Arusha!
Karibuni wadau mtiririke
MaraMkoa gan
Ni pazuri sana mkuu trust mePakovip huko
Mkuu umeisahau mwanzaNakutajia miko ambayo huwezi shindwa ishi hata kama huna hela
1.mbeya wilaya zote nzuri
2.iringa wilaya zote nzuri
3.morogoro baadhi ya wilaya hasa kilombero , kilosa, mvomero
4.ruvuma, wilaya zote
5.njombe wilaya zote
6.rukwa wilaya zote
Kwanini mikoa hiyo
Ni mikoa ambayo ardhi ina rutuba na chakula cha kutosha na mzunguko wake wa fedha sio wa msimu ni wakati wote.
na mpango wa kuzamia mufindi, dar kugumunjoo mufindi iringa mkuu utahisi uko ulaya maisha ni mazuri kama Japan vijijini wazungu wanapapenda sana
Ndio hivyo mkuu embe nono linakuwaga kwenye tawi lege legeHuko mbali sana