Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 550
- 1,071
- Thread starter
-
- #101
Ni kwa ndoa, kuhusu dini siwezi sema. Mimi nimejenga mkuu sijapanga nashukuru MunguKwanza hama huko uswahilini maana nyumba ambazo zimepangwa vizuri na kuna geti ni ngumu mambo yakuombana chumvi sijui mkaa. Alafu kama kaondoka miezi mi3 huyu umemuoa kwa ndoa au ikoje hii? Na nyie ni dini gani?
Ndugu zake wanafahamu maana ndiko alipo ndugu zangu nimewajuza piaJe wazazi wake/ Ndugu zake wana taarifa?
Je wazazi wako/ Ndugu zako wanatambua hii changamoto ya kukikmbiwa na kuachiwa watoto?
Ndugu zake wanafahamu maana ndiko alipo ndugu zangu nimewajuza pia
Kwa kuwa ndoa ilihusisha viongozi wa dini, na wazazi pande mbili, na kwa sasa pande zote wana taarifa, basi na viongozi wa dini nao wanapaswa kushirikishwa kabla ya kuchukua maamuzi yako ya mwisho.Ni kwa ndoa, kuhusu dini siwezi sema.
Huyu hawezi! Siku mkewe akirudi atamkumbatia kwa bashasha huku anabubujikwa na machozi ya furahaUnakosea sana kuongea nae,ungepiga kimya au ukabadili kabisa namba yako,yeye mwenyewe angekutafuta,
Kitendo cha kuwasiliana nae ni kama umeridhika yeye kua huko,
Piga kimya endelea na maisha yako wala usimuulizie wala asijue habari zako wala habari za watoto,
Mkeo alishakuona kua wewe ni dhaifu sana kwake ndio maana anakuchezea,
Kaza mkuu,kua na roho ngumu na yakikatili,huyo atarudi mwenyewe kisha unamfukuza arudi alipotoka.
wewe umesikia stori ya upande mmoja halafu umeanza kumuhukumu mke kama malaya.Hayo ndiyo maamuzi ya kiume achana naye. Hakuna ushauri mwingine
Pole sana ulioa malaya. Malaya ni kama kunguru huwa hafugiki
Ni ngumu sana malaya kumfanya mke lazima atakusumbua tu
Kama Tina sasa hivi huko alipo anatombesha kwa mwanaume/wanaume wengine
Halafu unasema ninataka yaani mpaka leo haujafanya maamuzi acha ubwege, piga chini umbwa hiyo
Kwa maelezo aliyotoa mke ana shidawewe umesikia stori ya upande mmoja halafu umeanza kumuhukumu mke kama malaya.
Wacha hiyo.
Wengi wao ni malayaKila nikisikiliza nyimbo za Tina, naona unafiki wa wana-upako
Nitazingatia mkuu, japo hata viongozi wa dini wana taarifa ila sijawaambia uamuzi wangu nilionao. Nashukuru kwa ushauri wako mkuu 🙏Kwa kuwa ndoa ilihusisha viongozi wa dini, na wazazi pande mbili, na kwa sasa pande zote wana taarifa, basi na viongozi wa dini nao wanapaswa kushirikishwa kabla ya kuchukua maamuzi yako ya mwisho.
- Nasisitiza maamuzi yako ya mwisho yafuate baada ya tafakari ya kina ukizingatia tayari una watoto wanao hitaji malezi toka kwa wazazi wote wawili.
Sawa ila weka fensi sasa maana ushaona changamoto hizo, la dini tuliache,Ni kwa ndoa, kuhusu dini siwezi sema. Mimi nimejenga mkuu sijapanga nashukuru Mungu
samahani mkuu lakini wewe ni dini gani, maana itaangalia ugumu wa kutoa talakaNitazingatia mkuu, japo hata viongozi wa dini wana taarifa ila sijawaambia uamuzi wangu nilionao. Nashukuru kwa ushauri wako mkuu 🙏
Tusikie pia stori ya upande wa pili
Tutafika mbinguni tumechoka sanaMkuu alitoroka kisa umemkaripia kugawa misosi Kwa majirani?Basi Wanaume tunakazi na nusu.
Nijuze mkuu, maana hata mimi sielewiKisheria mwanandoa asipokuwepo eneo lake la ndoa bila taarifa rasmi, ni kwa muda gani talaka inamhusu?