Nataka kuachana na mke wangu ambaye nimeishi naye miaka 2

Sijaona sababu yenye mashiko ya kumuacha mkeo hapo!!
Kanisa katoliki hakuna talaka.
Kanisa katoliki hutoa kibali Cha talaka endapo mmoja anamnyima mwezie haki ya tendo la ndoa makusudi Yani bila shida ya kiafya.
Hiyo sababu Ni kubwa mno katika sababu zake alizotaja.
 
Naomba namba za shetani ili na mimi nimchane ukweli
 
Ongezea hapo 'masingo maza'.
Masingle tu huwa hawatoshi, ila mtaa umeelemewa na masingo maza.
Aisee,. Mie nazungumzia ambao hawajaoa wala kuolewa tuko wengi sana wasituongezee mzigo
 
Mtoto ana miezi 7 bado nyie wachanga tulia anaweza kujirekebisha halafu wanawake wote hii Dunia ni majanga wote wanaliwa nje hili ni hakika omba Mungu asikuzalie nje tu....
Kuhusu kukunyima wewe achana nae kula mzigo nje
 
Lakini katika hizo sababu hapo juu hakuna hata moja yenye uzito wa kuachana na mkewe maybe kama uandishi wake umekua mwepesi kuliko masahibu anayoyapitia ndani kwake.
Sababu kubwa namba moja ya kuoa ni kupata unyumba.... Sasa kama hupewi hakuna ndoa hapo.... Bora kuachana mapema kabisa.....
 
Pole sana, jitahidi kuongea naye kwa kina kuachana siyo kuzuri ukizingatia mna Mtoto ambaye anahitaji malezi ya wazazi wote wawili.
 
Wanandoa sababu ni zilezile kila siku hamna mpya,.

Aisee wakuu pambaneni huko huko na hali zenu masingle mtaani tumetosha
Alafu sababu za kipuuzi eti kunyimwa unyumba, mara matumizi makubwa na blah blha za kimaskini.

Nifahamuvyo mwanamke anaachwa kwa kugawa unyumba hovyo mitaani ila haya mengine hayana maana. Ni kukaa chini na kuongea.
 
Shida ya kutokuwa na ''side note'' ........muwe na daftari la ziada! Eti unalilia kunyimwa unyumba Karne hii! Kwel kabisa? Oa wa pili Mzee.
 
Alafu sababu za kipuuzi eti kunyimwa unyumba, mara matumizi makubwa na blah blha za kimaskini.

Nifahamuvyo mwanamke anaachwa kwa kugawa unyumba hovyo mitaani ila haya mengine hayana maana. Ni kukaa chini na kuongea.
Yeah ni kweli,. Wakae wayazungumze kuachana sio suluhisho maana hajui atakayemuoa tena atakuwaje
 
Sijaona sababu hata moja ya kuacha mke hapo.
Ninapo waambia ndoa ni kwa watu wenye akili timamu ndio muelewe hebu muoneni huyu changamoto ndogo tu anataka kumwacha mke.
 
Ni sababu za muhimu, ila sijaona sababu ya msingi
Shida sio mke wako, shida ni wewe kutokutambua tangu mwanzo unataka nini kwenye haya maisha
Mwanamke wako kwakweli amepata hasara
 
Kanisa katoliki hakuna talaka.
Kanisa katoliki hutoa kibali Cha talaka endapo mmoja anamnyima mwezie haki ya tendo la ndoa makusudi Yani bila shida ya kiafya.
Hiyo sababu Ni kubwa mno katika sababu zake alizotaja.
Kwanini unategemea kikundi fulani ndiyo kiwe kinaamulia uamuzi wa mambo kwenye maisha yako ilihali unapaswa kutoa maamuzi kulingana na hisia zako mwenyewe?
 
Hizo mbanga za nini zote, yeye aanze kuishi kama yupo single tu. Achukue namba mpya kila apatapo nafasi. Aanze kugonga nje apunguze kulilia lilia mbunye ya mkewe.
Afanye kwanza hivyo nlivyomwambia sababu inaonekana kama vile bado anamuelewa mke wake, Akiona demu wake ha-react aichukue hiyo yako.

Yeye sio mti ambao hauwezi kuhamishika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…