Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

Ila wakurya kwa asili ni watu wenye viburi na jeuri lakini pia ni watu wenye visasi na chuki zisizo na msingi hapo ukiangalia baba na mtoto wote ni walewale

Ushauli wangu Kama uko kanda ya ziwa nenda usukumani utapata mke bora lakini sio ukuriani, uhayani, ujitani hayo makabila yana watu washenzi sana
 
Huku Dar hukuwa na wanawake?au ndo uliwatumia kama kipoozeo tu kuoa ukaenda Mara.
Sasa nakuambiaje vita ni vita mura pambana na hali yako.

Mara lakimoja aowe mikoani kuriko dar babaa. Mabinto wa dar most of zem jeuri, malaya, vibuli na ujuwaji mnoo.


Muraa Pore sana,,,,kuna msemo unasema "uckosee kuowa"
 
Baba mtu kukataa mahari ilitakiwa iwe danger sign ya kwanza ya wewe kushika break...

Baada ya hapo ulipaswa kujua historia ya hiyo familia, wamezaliwa wangapi na hao ndugu zake wengine maisha yao yakoje, kama wameshaoa na kuolewa je ndoa zao ziko imara ama ndio tia maji tia maji.

Ila kwa sababu ulienda ukiwa na moto wa kurudi na mbususu Dar, basi sio mbaya ukikomaa nayo ivoivo maana bado hujakomaa, ukikomaa utatafuta mke na sio mbususu.
 
Dar wachache mnoo warioturia.
Basi tu kwa Dar tuombe Mungu, nina jamaa zangu wawili mmoja alivyotaka kuoa,mzee wake akaenda Kibaha kumtafutia mke kaoa 2016.

Nina mshikaji wangu dereva wa canter, naye binti alimpatia Chole uzalamuni huko alivyo enda kuchukua machungwa kaoa 2014 na ndoa zao zipo poa, ila sisi wa Dar........ full kucheza kamari.
 
Kwa nini ujipe taabu isiyo na maana,rudi dar oa wanawake wa pwani,utapewa papuchi mpaka ukinai,huyo achana nae maana maisha yenyewe mafupi kisha utafute pesa kwa taabu na mkeo nae uishi nae kwa taabu!khaaa!!
 

Aisee,,hongera yao mkuu.
 
Mkuu Kama bado hujazaa naye na umeshayaona mapungufu yake mapema Bora utuishe mzigo mapema Tafta mtu sahihi ambaye moyo wako unapenda usichukue mtu kwa kuwasikiliza watu/ wajumbe
 
Yaani hata sijui akili zilikuwa wapi. ASANTE kwa ushauri wako
 
Miaka 20 kwa asilimia kubwa bado watoto sana kwenye maswala ya ndoa. Alaf wenda hicho kiburi anakitoa kwa mama ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…