Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

Hawa watoto safari yao ya maisha itakuwa ngumu sana, hata kama kuna story nyuma ya pazia hapo ushaanza kuona mzigo, unataka kupata uhakika ili utemane na mzigo wa malezi ya watoto wa kaka yako! Nazidi kuamini ndugu wa upande wa baba sio watu
 
Hii ilikuwa haihusiani na wanandugu ni mimi mwenyewe binafsi kuna jambo niligundua kwa huyu bibie ndio ilipekea kuwaza hivi lkn nashukuru baadhi ya washauri wamekata kiu yngu Nobunaga Mkushi Mbishi Etugrul Bey pamoja na Top for B
Kwamba you are more perceptive than your late brother?

Anyway, ni vizuri kama umeamua kuacha familia ya kaka yako ianze maisha mapya kwa amani.
 
Hawataki watoto wa rithi., ndio maana wanatafutiwa sababu baba mzazi hakuwapima we we Nani..??!!
Yaani hawa kina bamdogo sijui bamkubwa, shangazi sio watu bhana hapo ni either anaona mzigo kuwalea kama kaka yake hakuwaachia chochote kitu or mali wanataka wachukue kwa mjane kisa kulikuwa na vistori nyuma ya pazia kwamba watoto sio wa ndugu yao hivo mjane na watoto hawana haki na watafukuzwa akyanani
 
huku umeenda mbali sna hawa madogo kwngu sio mzigo hta japo kipato ni kawaida na mpka baba yao ananikabidhi mimi wakati wa nyakati za mwisho za uhai wake means alikuwa na uhakika na anayemuachia na ndio iko hvyo na kwa baadhi ya maoni ya wadau hili jambo nimeshalifunga
 
Mkuu walee, hutakaa upungukiwe kwa kuwahudumia watoto wadogo๐Ÿค”๐Ÿค”mm mzee wangu ana uchumi wa kawaida sana lkn aliwa-adopt watoto watano na anawasomesha fresh tu
 
Kwanini kaka yako aliwakubali wanae na hakuwa na mpango wa DNA test au Kunatumaokoto kidogo tunawahusu hao watoto
 
Hana lolote anataka kukimbia malez ya madogo
 
Hawa watoto safari yao ya maisha itakuwa ngumu sana, hata kama kuna story nyuma ya pazia hapo ushaanza kuona mzigo, unataka kupata uhakika ili utemane na mzigo wa malezi ya watoto wa kaka yako! Nazidi kuamini ndugu wa upande wa baba sio watu
Ndugu wa upande wa baba ni watu poa sana hasa kwa makabila ya nyanda Za juu kusini
 
๐—›๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ฐ๐—น๐˜‚๐—ฒ๐˜€ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ผ๐˜‡๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜‡๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ฎ ๐—น๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฒ, ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—ท๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ผ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐˜‚๐—บ๐—ถ๐˜‡๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ผ๐˜๐—ผ??????
 
Kitanda hakizai haramu. Wewe lea watoto acha story mingi.

Kibaiolojia unachotaka hakiwezekani kirahisi Utapoteza muda na nguvu. Ni mpaka analysis ya hali ya juu ambayo haiwezi kufanyika kwenye labs hizi za kawaida. Inaweza kuchukua mwaka mzima mwanasayansi aliyebobea kuweza kutoa majibu ya uhakika. Je una hela za kulipa? Utaliwa hela tu

Hii ni kwasababu algorithm (vipimo) zilizopo zina angalia mtoto na mzazi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ