Nataka kufanya DNA test ya watoto wa kaka kupitia mimi je inawezekana?

Sina hakika ila nadhan inawezekana.cha msingi ni kwamba dunia ya leo huna sababu yakuishi kwa dukuduku moyoni kwa jambo ambalo unaweza kulipatia ufumbuzi au majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mtoa mada unafurahisha
Sasa unaomba ushauri ili usaidiwe lakini apo apo unasema Kuna stori nyuma ya pazia
Asa watu watakupaje ushauri ulio sahihi wakati kiini cha iyo stori yako hutaki kuisema apa
Swali la mtoa mada liko wazi,yeye kauliza kama kupitia yeye vipimo vinaweza kutoa majibu sahihi kwa watoto wa ndugu yake.Hayo mengine tunatafuta umbea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kama na weww sio mtoto wa Halali kwenye Familia yenu??
 
• Shida iko wapi, mpaka umewaza kufanya hivyo mkuu....

• DNA za Tanzania haziaminiki, utapoteza hela tu.
Zimeingiliwa na mfumo.
Serikali inaamua majibu.
Lengo kupunguza Street Children.
 
Maabara hazina shida hata kidogo.

Ila tunaangalia ni namna gani majibu yataleta impact kwa jamii.

Kwasasa % kubwa za DNA zinasoma connect. 95%.

Kwani hamkumsikia Kabudi? Sisi wababa wakitanzania muhimu ni kuwa (Social Fathers) hayo ya Biological hayatuhusu.
 
Zimeingiliwa na mfumo.
Serikali inaamua majibu.
Lengo kupunguza Street Children.
Hii ndo point sasa, tukubali kabisa, sisi wanaume watoto tunaolea asilimia kubwa siyo watoto wetu... Sasa hizo DNA ikifanya kweli watoto watajaa mtaani bila baba zao.
 
Utakuta hizo mali kidogo za marehemu ndio zinakufanya uwaze uwo ujinga,unataka kuwatimua watoto mgawane mali tu,hauna lolote
 
Tatzo DNA ni za mchongo

Lazm watoe positive ili watoto wapate malez
 
Ila...
 
Nilishawazaga hii,serikali ingeamua kwamba DNA ingekuwa inapimwa palepale kabla ya mama hajarudi nyumbani,hii ingesaidia sana kupunguza mashaka huko mbeleni na ukatili ungepungua pia
 
Walee tu mkuu,kwkuwa baba yao ameshafariki usitengeneze misiba mingine,wewe timiza lako huko mbeleni likibumbulika sawa
 
Alikuwa kimya kaka yake kulea dharau.je na hela yake awe kimya
 
yah!! inawezekana kwa sababu wanachukua vinasaba vya baba!!
 
Ni kweli hayo mambo yalishawahi kuipata familia nzima tena mwenye kiherehere kabisa ndo alikutwa sio mtoto wa pale.
 
Atumie vinasaba vya mama yao.
Maza ni mmoja tu ila baba lolote linaweza kutokea.
Yawezekana kaka mtu na mdogo mtu wote au mmoja si tunda la wanayemwita baba yao.
Jamaa anamtaka Shem wake, cha msingi apewe mzigo kesi iishe
Ni kweli kabisa. Mama ndiye ajuaye Baba wa wanae, labda kama kamuiba mtoto hospitalini. Kinamama wanasiri kubwa na huiweka hiyo siri sirini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…