Nataka kujilipua na Volvo XC 90. Ushauri wenu wadau

Spares hazipatikani?
Bei zake hazishikiki..Mara nying price changes at market due to exchange rates, Pia hazijirudii kwa magari hayo si mengi na watumiaji wake huagiza toka viwandani..Hayo madogo ni kwa kutunza brand ya kampuni na ndio sababu huwa ya na series za Matoleo na hua ni pinzani na audi♾♾
 

Dpf hata kwenye mazda cx5 za diesel ni tatizo. Kama ulivyosema, solution ni kuziondoa tu physically na kufanya dpf delete. But inwould advise atafute ya petrol, T5 au T6. They are my dream car since Mazda CX5 za kuanzia 2016 bei ni mlima kuliko xc60 za kuanzia 2011
 
Hili tatizo dah
 
Chukua chuma hiyo ni ya kipekee sana na ni ngumu
 
Mkuu wewe ndo nilikuwa nakutafuta siku nyingi sana.

Na nimekupata.

Utake Usitake (In Ndugai's voice😂😂) utatuelimisha vizuri sana kuhusu hii gari kwa versions zake.
 
Binafsi ninavutiwa sana na T8 twin engine(hybrid). Moja sababu ni matumizi kidogo ya mafuta(volvo na reviews mbalimbali zinaonesha inaweza kutembea kati ya speed 1-125 huku ikitumia battery tu).

Naomba kujua cons na pros za hiyo gari maana ni expensive sana so ni lazima kuwa makini.
 

Attachments

  • Screenshot_20230116-114902.png
    36.8 KB · Views: 33
Volvo Xc90 vs Bmw x5 vs Audi q7.

What will you take?
 
Hii T8 siijui kabisa ni engine configuration mpya. Ila reviews zake inaonekana moto. Na nimeshaziona kadhaa, hata sound yake huwezi kudhani ni 4 cylinders, maana ina sound kibabe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…