Nataka kukaa mbali na mtoto

Jitahidi uende kwenye hayo maafali, jitahidi pia kumpenda kama anvyokupenda wewe.

Nilitaka kuuliza vipi kuhusu mama yake?

Katika hizo sababu zilizoshindwa kutatulika ikitokea sababu ya kutatulika unaweza kurudiana na huyo mr?

Yote ya yote moyo au nafsi ya mwanadamu au pengine kiumbe chochote huwa kina hisia za upendo kwa mtu au kitu bila ya kua na sababu.

Mtu au chochote kinachoonyesha kuwa upendo nawe, jitahidi nawe kuonyesha upendo kuzidi yeye, itakusadi sana kama sio leo basi kesho au mtondogoo.
 
Thimba makolo tu yule wee ni master mjomba ! Au nililetee chuntama mjomba wangu?? Naona unadhindwa kutumia mbunu za kimafia kabisa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ shida tozo nyingi shangazi .. acha tubakie kuwa mashemeji tuu
 
Nimejisikia vibaya nahisi huu ukaribu Sasa utaleta tafrani nataka nikae mbali na huyu mtoto bila kumuonyesha kuwa sipo kbisa na babaake
namnagan nimuweke mbali na isimuathiri huyu mtoto?
Mwanao huyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…