TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
😂Naona amepata support
Mimi ushauri wangu anza kupunguza mazoea na huyo mtoto kidogo kidogo maana sioni "future" ya huu uhusiano wenu. Ni bora ukaanza kumpotezea taratibu kuliko ukaja kukata mawasiliano ghafla utamuumiza zaidi.