Nataka kumfungulia kesi Hayati Dkt. Magufuli kwa madhila aliyowafanyia Watanzania

We umeahirisha kwenda huko mbona kunakusubiri bro. Cheti fake naona kilikupagawisha mpaka kurukwa akili .pole yako .kama Una shida na psychiatric kuwa free tukusaidie . Magu name will never perish Mzee
 
Umesahau madhila tuliyoyapata wakazi wa kimara,mbezi,kibamba na kiluvya. Ile bomoabomoa aliifanya kisiasa tu...CHADEMA ilifanya wakazi sisi tuwe wakimbizi tu. Wengi tuliwazika kwenye janga lile. Ila kule kwake kanda ya ziwa wao walikula matunda ya nchi kwa kulipwa fidia zao.
 
Hizi nguvu mnazotumia kumtusi hayati mngezihamishia katika mambo mengine yenye tija tungefika mbali...
Wamarekani mpaka kesho 'wanamtukana' Nixon, je hawajafika mbali?
Maovu yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote, bila kujali yupo hai au amekufa.
Usipoangalia ulipojikwaa, utajikwaa kila mara, na werevu watakuita MPUMBAVU.
 
Ningeshiriki uchimbaji wa kaburi lake,ningeshauri tuchimbe kilometa 20 kwenda chini ya ardhi. Maana anaweza kuja fufuka huyu
 
Zamani kipindi wasiojulikana kushika hatamu kulikuwa na komenti nzuri...sema siku hizi hamna ikiandikwa hivi...

,,Mchakato wa kufa huanza hivihivi,,,
 
Wengi sana wamepotea kwa kuhisiwa ni kigogo
 
Mhusika ayupo kwann tusidili na wapumbavu waliokubali kutumika ambao still wapo hai wangegoma kutumika uovu usingefanyika.
Wao ndo tuwashughulikie nao watangulie kuzimu si wanajulikana si wanaishi na Jamii.Dereva aliyembeba Azory akauliwe si yupo, walinzi waliofungua geti area D si tunaishi nao,waliomteka Roma,Nondo,Ney wa mitego,waliopora pesa bureau de change nk si still wapo wanaishi mitaani, tuwashughulikie nao the same kwa jinsi walivyotenda wa kuzimu waende,wa kufilisiwa wafilisiwe nk.
Tuwatende the same walivyowatenda ndugu same Ili kuiponya Jamii maana Kazi ya kisasi ni kuiponya Jamii iliyoumizwa.
 
Bro huna akili samahani kwa hilo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na uhanga (Sexless) kwa muda mrefu madhara yake kisaikolojia ni mabaya sana, ndiyo maana watu wanashauriwa angalau kuwa wanapata kakitu mara moja moja ili uhanga usipande kichwani.
Kabisa mkuu!..

Na mtu mwenyewe ndio kama huyu
 
Hivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Ni kama Adolf Hitler...
 
Nani anakudanganya? Wajinga ndio walidanganywa na propaganda zake za kugawa hela na kununua Jogoo..... na kujidai mcha Mungu huku akifanya maovu.
 
Hivi MTU aliyekwisha ondoka katika dunia hii lakini ana tembea vinywani mwa watu kuzidi hata walio hai na wenye wadhifa kama aliokuwa nao marehemu! Hii sijui imekaaje!
Siku zote marehemu husifiwa hata kama alikuwa nyanga'u.Ukiona marehemu ananangwa badala ya kusifiwa itakuwa imekaaje?
 
 
Katika Karne nyingi zinazokuja Magufuli Atakumbukwa Sana kuliko Rais yeyote ukimwondoa Nyerere, Kama vile Marekani inavyomkumbuka J F Kennedy, Uingereza inavyomkumbuka Winston Churchill, ameacha miradi yenye uwezo wa kudumu Nusu millennium angalia SGR,Bwawa, Busisi, miongoni mwa Mingi ,,,,
Ukisema umshitaki kisa Kuna watu walipata madhira, Kila uongoz watu wanapata madhira hata wakati wa mwl akina kambona,Mzee Masha,Sokoine, nk, Njoo kwa Mzee wa ruksa, Mkapa ndo ivyo wazanzibar 2001 walikufa Kama njugu,akina Kolimba pR Malima, mzee wa tabasamu Unamjua Ulimboka, Mwigira kuchomewa matrecta 2012, Mwangosi kupigwa risasi,Dr Theobald Mvungi kuuwawa..
 
Huyo unayemshtaki yupo kaburini tangu march 2021. Chunga sana majaji wasije kufikiri kesi imefunguliwa na mwendawazimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…