Nataka kumiliki Scania R450. Je, pesa itarudi baada ya muda gani?

Kuna mdau kaeleza kwenye huu uzi jinsi wanavyo nunua na kuzibadilisha.
Ila hizo ni mbinu tu za kutafuta unafuu wa gari, na njia hizo zinafanywa na watu wazoefu wa vyuma.

Ila kama wewe ndio unaanza ni bora kununua Fuso Tandam original ya Japan na sio ya kuongezewa Moshi au Arusha.
 
Nenda Mwanza ukajenge nyumba nzuri weka wapangaji.Hiyo Scania achia matajiri wakubwa
 
Kwa huduma ya Kufwatilia Gari na Mafuta tuwasiliane inbox hutajuta na utapunguza gharama kwa kiasi kijubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…