Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Nataka kumuoa huyu mlimbwende wa JF

Habari wakuu,

Kuna mlimbwende mmoja humu amenivutia sana, nataka msimu ujao wa mavuno, niweze kutangaza ndoa kabisa.

Huyu mrembo ameiteka sana akili yangu, mpaka uwezo wa kufikiri umepungua; nilipo pishana naye tu barabarani, ilikuwa kidogo tu nigongwe na bajaji.

Kupitia huu uzi, anatakiwa ajitambue yeye tayari ni mke mtarajiwa wa equation x, na ajiandae kwa mipangilio ya familia ya kuwa na watoto wengi hapo baadaye.

Najua atapitia huu uzi, jina lake linaishia na h.

Wakuu nipeni baraka zenu.​
Kuwa mpole
Kuwa na hekima
Kuwa na subira.

Hilo jina ni kama linashabihiana na mwenye kumiliki hisia zangu pia.

Mapenzi bila vita hayanogi.
Jiandae kwa mpambano. Jina lake linaanzia D na ukiona siyo mwenyewe basi pita hivi👇
 
Halafu uje na uzi kua unajuta kuoa demu wa jf
By the way kila la kheir
 
Kuwa mpole
Kuwa na hekima
Kuwa na subira.

Hilo jina ni kama linashabihiana na mwenye kumiliki hisia zangu pia.

Mapenzi bila vita hayanogi.
Jiandae kwa mpambano. Jina lake linaanzia D na ukiona siyo mwenyewe basi pita hivi👇
Mapenzi ni sera, hayahitaji vita wala nguvu 😀😀😀
 
Back
Top Bottom