Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Nataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow.
Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge!
NB
Matumizi yangu ni ya kawaida.
Karibuni kwa ushauri
Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge!
NB
Matumizi yangu ni ya kawaida.
Karibuni kwa ushauri