ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Looks great, swali je anatumia sim ya unlimited?Hii universal umenunua sh. Ngapi mkuu? Looks like a great deal.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Looks great, swali je anatumia sim ya unlimited?Hii universal umenunua sh. Ngapi mkuu? Looks like a great deal.
Ushaasema malalamiko mengi ushauri gani tusafishemmalalamko amaNataka kununua router ya Airtel ila mitandaoni naona kelele ni nyingi juu ya malalamiko kuhusiana na internet kuwa slow.
Nilipo hapa natumia bando la kawaida la Airtel na liko poa. Naombeni ushauri kuhusu hizo router zinafaa au hazifai kabla sijaingia mkenge!
NB
Matumizi yangu ni ya kawaida.
Karibuni kwa ushauri
Kuna mavifurushi ya bei chee kama halotel wana cha buku 5 unapewa GB7 au 9 kwa week. Its likely enough kwa watumiaji wa kawaida kuliko kujiunga elfu 3 kila siku kwa week ni 21,000Looks great, swali je anatumia sim ya unlimited?
Labda hivyo, ila unlimited naona ni much better.Kuna mavifurushi ya bei chee kama halotel wana cha buku 5 unapewa GB7 au 9 kwa week. Its likely enough kwa watumiaji wa kawaida kuliko kujiunga elfu 3 kila siku kwa week ni 21,000
TTCL inaonekana wazuri ila wana mashauziLabda hivyo, ila unlimited naona ni much better.
Nimejaribu kuomba fiber ya ttcl ila kama kawaida yao, mwezi sasa hawajaja.
Hii inauzwaje?Chukua universal,unaingiza laini unayotaka mkuu,usifungwe na mke mmoja.View attachment 3165283
inategemea na muuzaji,ila haizidi 100kHii universal umenunua sh. Ngapi mkuu? Looks like a great deal.
inategemea muuzaji,ila usinunue zaidi ya 100kHii inauzwaje?
Mkuu, wanaiuza wapi hii kwa 110,000 maana nimeenda Airtel shop ya Mlimani City wakaniambia wao hawana hiyo offer lazima ninunue kifaa 200k pamoja na bundle au ninunue kwa agent ndio akanipa number ya agent.Hapana ile ya Tshs 270,000 ambayo sasa wanauza Tshs 110,000
Chukua universal,unaingiza laini unayotaka mkuu,usifungwe na mke mmoja.View attachment 3165283
Nje ya mji airtel kidogo ina unafuu kulingana na mitandao mingineUsilongwe. Airtel ni hovyo kabisa kwenye internet.... Ukitoka maeneo ya mjini tu kwisha Habari..
Nipe noAchana nayo, internet ipo down sanaa.. Mimi najuta kwa kweli, kama vipi njoo nikuuzie yangu kwa nusu bei.
vinapatikana wapChukua universal,unaingiza laini unayotaka mkuu,usifungwe na mke mmoja.View attachment 3165283