Nataka kununua samsung A42 5G mwenye uzoefu kidogo wakuu Je iko poa au vip

Bora uchukue Samsung A15 4G mpya kwa 300k-350k

1. Ina camera decent kwa matumizi ya kawaida.

2. Inakaa na chaji almost saa12 hata ukitumia sana.

3. Mtandao wake wa 4g uko vizuri.

4. Ina performance nzuri kwa matumizi ya kawaida ya kila siku, mf. kupiga picha,kucheza games,mitandaoni. Chip yake ya MediaTek Helio G99 iko poa kwa hio bei.

5. Ina kioo kizuri Super AMOLED, 9OHz, 1080x2324 kucheki content unaenjoy.

Kwa hio bei hakuna simu ambayo utanunua mpya kabisa yenye warranty itayoifikia A15 4g
 
4. Ina performance nzuri kwa matumizi ya kawaida ya kila siku, mf. kupiga picha,kucheza games,mitandaoni.
5. Ina kioo kizuri Super AMOLED, 9OHz, 1080x2324 kucheki content unaenjoy.

Kwa hio bei hakuna simu ambayo utanunua mpya kabisa yenye warranty itayoifikia A15 4g
Precisely, wazo zuri kwa budget hiyo...
 
A42 haina shida japo naona ni ya mda sana, 2020 ni mbali kidogo. Ila ina chip nzuri as in Qualcomm Snapdragon, gaming nk sio mbaya. Ukichukua used jiandae kamera kuwa imeshuka ubora, huwezi kupata quality ile ya simu mpya..

Wenye ujuzi watakuambia.
nashukuru kwa ushauri wako mkuu so unashauri nichukue aina gani kwa bei hiyo ambayo imetoka miaka ya karibuni
 
Bora uchukue Samsung A15 4G mpya kwa 300k-350k

1. Ina camera decent kwa matumizi ya kawaida.

2. Inakaa na chaji almost saa12 hata ukitumia sana.

3. Mtandao wake wa 4g uko vizuri.

4. Ina performance nzuri kwa matumizi ya kawaida ya kila siku, mf. kupiga picha,kucheza games,mitandaoni. Chip yake ya MediaTek Helio G99 iko poa kwa hio bei.

5. Ina kioo kizuri Super AMOLED, 9OHz, 1080x2324 kucheki content unaenjoy.

Kwa hio bei hakuna simu ambayo utanunua mpya kabisa yenye warranty itayoifikia A15 4g
ushauri mzuri mkuu vip A15 yenye Gb ngapi naweza kupata kwa bei hiyo like 300k
 
Mkuu mimi ushauri wangu achana na a series zinawahi kudeplete camera na vitu vingine kama tafuta s series hata s21
Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima
Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au nifanye chaguzi zingine budget yangu ni 300k
 
Back
Top Bottom