Nataka kununua samsung A42 5G mwenye uzoefu kidogo wakuu Je iko poa au vip

Nataka kununua samsung A42 5G mwenye uzoefu kidogo wakuu Je iko poa au vip

Mimi natafuta mtu mwenye Samsung A53 5G iwe na storage 256 na RAM ya 8GB nifanye top up nimpe A05S, 128GB nimuongezee na hela tutakayokubaliana.
 
Nenda dukani na 350k utapata, ulizia A15 4G utaipata hakikisha ni mpya, inawarranty, muuzaji akupe ukague IMEI isijekuwa ni ya mkopo.
sawa mkuu ,ila nauliza je ya mkopo haina IMEI au vipi najuaje mkuu OG na Feki nielimishe kidogo mkuu
 
sawa mkuu ,ila nauliza je ya mkopo haina IMEI au vipi najuaje mkuu OG na Feki nielimishe kidogo mkuu
Kama itakuwa ya mkopo ukitaka kuifanyia factory reset inagoma, pia unakuta apps ambayo sio ya samsung na huwezi kuifuta mfano. Yas,Vodacom n.k Pia nyingine inakulazimisha utumie laini fulani, ukiweka tofauti inagoma mf. inalazimisha uweke Voda kama line1.

Kama ni feki ukijaza IMEI yake kwenye website haiendani na iliyoandikwa kwenye box, au kwenye settings, hali yake haina upya, muonekano wa kufubaa unaona kabisa hapa napigwa.

Kikubwa upewe warranty na risiti, pia muuzaji mkubaliane ikizingua unarudisha.
 
Kama itakuwa ya mkopo ukitaka kuifanyia factory reset inagoma, kama ni feki ukijaza IMEI yake kwenye website haiendani na iliyoandikwa kwenye box, au kwenye settings, hali yake haina upya, muonekano wa kufubaa unaona kabisa hapa napigwa.

Kikubwa upewe warranty na risiti, pia muuzaji mkubaliane ikizingua unarudisha.
pamoja mkuu 🙏kwa kunielewesha
 
Mkuu mimi ushauri wangu achana na a series zinawahi kudeplete camera na vitu vingine kama tafuta s series hata s21
Mkuu kudeplete maana yake nini?Natamani kupata shule hapa maana nimetumia Samsung A12 kwa mda sasa.Sijajua nihamie wapi budget yangu ni 500k
 
A53 5g ni nzuri?
Haina tofauti na A series nyingine yoyote isipokuwa tu nimeangalia kigezo cha storage kubwa.

Mfano hii ya kwangu A05S ni 128GB lakini wameiboresha zaidi inatumia mfumo bora zaidi wa Samsung ambao ni Qualcomm Snapdragon na chip ni Adreno.
 
Back
Top Bottom