ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,578
- 7,055
Sawa mkuuHaina tofauti na A series nyingine yoyote isipokuwa tu nimeangalia kigezo cha storage kubwa.
Mfano hii ya kwangu A05S ni 128GB lakini wameiboresha zaidi inatumia mfumo bora zaidi wa Samsung ambao ni Qualcomm Snapdragon na chip ni Adreno.