MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Kemea hilo pepo mkuu, Shukuru umefanikiwa kufika miaka 35 bila attachment, don't try to ruin the rest of your life. Neno langu sio sheria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio ukimuomba Mungu mtu sahihi anakushushia tu chumbani ukiwa umelalaOmba Mungu wako akumpe mtu sahihi, acha kubahatisha.
Kusoma daresay moja sio lazima uwe na umri sawa 🤣🤣Mkuu lazima wapo ambao hawajaolewa ,na Kusoma darasa Moja sio lazima uwe wote mna umri sawa
Hii nayo mbwinutafta demu under 25 mpe mimba waje wakufungishe ndoa kwa lazima
Ndugu yangu hongera.Habari wadau.
Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs.
Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea sana.
Najiona kabisa nitazeeka bila familia kwa uzembe wangu. wazee wa kupoint mnisaidie connection na wadada mnaowajua wenye vigezo.
Wasifu wangu
1. Mwanaume miaka 35, muajiriwa sekta binafsi
2. Kipato kidogo japo wengine wanaita cha kati
3. Makazi Dar es salaam
4. Elimu ya chuo kikuu
5. Dini Mkristo Anglican
Wasifu wa Mwanamke naependa awe nijenge nae familia
1. Elimu isipungue kidato cha nne, awe na uwezo wa kuchanganua mambo kutambua facts na bullshits, sense na non senses. Wazungu wanasema awe open minded
2. Awe mkazi wa Dar es salaam,
3. Awe mkristo. hata kama akiwa dini nyingine awe tayari kuishi kwenye ukristo
4. Awe mrefu mrefu maana nami ni mrefu mrefu
5. Awe hajawai kuolewa ama kuzaa
6. Umri asiwe mdogo sana na wala asiwe mkubwa sana wa kunizidi umri
WENYE VIGEZO AMA KAMA UNAMJUA MWENYE VIGEZO KARIBU UNISAPOTI MWAKA HUU TENA USIISHE BILA BILA
Habari wadau.

Ni lazima, hii ya kufichaficha imekaa kizamani sana...sahivi mwanaume anataka ajue mwanamke anajishughulisha na nini na kiasi gani anapata na kwa mwanamke vivyohivyo.....la sivyo utachina sana mkuu
Hapo kwenye umri ingependeza awe mdogo kulinganisha na umri wako heshima itakuepo ndani milele
tupo wengiiMkuu ata mimi nina miaka 28 sijui namuoa nani yani kichwa kimevurugika
Huo ni umri hatari sana kutafuta mke mtoa mada…. Ulipaswa uwe na candidates walau wa3 uchague mmoja, ila from no where tu…..
Hata hivyo nikutakie heri… kama una imani omba Mungu sana wakati huu.Huo ni umri hatari sana kutafuta mke mtoa mada…. Ulipaswa uwe na candidates walau wa3 uchague mmoja, ila from no where tu…..
Hata hivyo nikutakie heri… kama una imani omba Mungu sana wakati huu.
Watu wa aina hii asilimia kubwa unakuta walikuwa na mtu mmoja kwenye mahusiano muda mrefu na ghafla mahusiano yakazingua.. ndipo wanahaha kutafuta replacement