Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Umesema ukweli mkuu,siku hizi hakuna kukariri inabidi uchekeche sana kichwa chako ukifanya kwa kukariri tu umeliwa.
Ni kweli mkuu,kila mmoja anataka maendeleo mazuri,mambo ya kushika chaki na kuishia kwenye ugonjwa wa pumu hauna tija.
 
Ni kweli mkuu,kila mmoja anataka maendeleo mazuri,mambo ya kushika chaki na kuishia kwenye ugonjwa wa pumu hauna tija.
Mimi mwenyewe zamani nilikuwa nimekariri kwamba nitafute mwalim au nesi ndio nioe.
Basi ikawa kila nikichunguza naona wote chenga.
Mwisho wa siku nikaja kumpata mke mwenye vigezo na mtulivu sana,hakuwa mwalimu,nesi wala mwanasheria.
 
Back
Top Bottom