Mkuu Poppy,
Poppy Hatonn , kwa vile wewe ni mtu enlightened, ni mtu wa meditation, being a first born you were supposed to be the chosen one, lakini imetokea kama kwa Caine and Abel and Essau and Issac, hivyo na wewe kuwa tu mpole kama Essau, your time is almost up, resort to deep meditation, ili uumalize huu mwendo peaceful, as long as you have food to eat and shelter, live your short remaining life in this world to the fullest, enjoy life, do good deeds, and never mind kabisa this time, you will be repayed everything that you were supposed to be in your next reincarnation!.
Mfano hata Mzee wako baada ya kuondoka, was incarcerated into Humphrey Polepole
Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa? na
GE2025 - Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake? but very unfortunately wale wale watu wabaya waliomtoa JPM, wakamuondoa tena!.
Kama uliweza kuvumilia yote kwa miaka yote, huwezi kushindwa kuvumilia na kustahimili muda huu wa jioni kabisa, ukiona giza limekuwa kubwa sana, ujue ni karibu kunapambazuka, don't do anything silly this time, subiri kukuche!.
Wish you all the best.
Mzee Pasco