Mkuu Kalamu , nina asante tatu kwako,How do you mean. 'incarnated'?
I sort of liked those few lines above!
Nyerere hakuacha urithi zaidi ya jinaFuata procedure kama zile za mwana mfalme (Prince Harry) omba urith then toka kwenye share ya familia
Hili nilitaka kulizungumzia humo humo, lakini nikaghairi.Na asante ya tatu ni kumbe hata wewe mara moja moja... thanks.
Na ndio maana nikakushukuru, hakuna mtu yoyote anayezaliwa huku anajua kila kitu, wote ni tunajifunza au kufundiswa, along the way, we all make mistakes, but we keep on practising until we make it perfect, hivyo you never know, na mimi itafika fika nitaweza kufikia viwango ambavyo sio discouraging to readHili nilitaka kulizungumzia humo humo, lakini nikaghairi.
This was an exception, it just happened. It happens rarely, I can assure you of that.
Na sababu mojawapo ni kwamba, the write-up wasn't overwhelming/discouraging to read right from the beginning
Mkuu mwembe mawazo upo Tanga mjini
Aliyefariki ni mtoto wa Makongoro
Huyu kijana sio kwamba kupiga debe sio kazi hpn lkn ameshindwa kuendelea na masomo
Jiondoe kwenye familia ya Mwalimu jiunge na familia ya Mzee Kizurira huko waachie kina Yericko na Steve Nyerere wa MchongoUnajua saying,Did he jump or was he pushed?
Nataka kutoka familia ya Nyerere.
How do I do it legally?
Asante kwa kuweka mawasiliano yako publicNamba yangu ya simu.
0671 079 561.