Silent King
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 163
- 366
Mzee wewe ndio yule ulisema vijana wa Dar es salaam wakichoma Dar 7/7 wasiichome yote wabakize maeneo ya kuishi?NAKUKUBALI SANA WEWE MOJA KWA MOJA PEPONI SITI YA MBELE

Siyo mimi ninayepewa.Pokea hela, acha ubwege. Hata kama huhitaji lakini kizazi chako kinahitaji
Mkuu kabla hujajitoa kwenye family naomba umsaidie yule mjukuu wa Makongoro
Yupo pale Yanga mjini stand ya mwembe mawazo anapiga debe. Japo baba yake amefariki na alizaliwa nje ya ndoa lkn msaidie mkuu
Mkuu mwembe mawazo upo Tanga mjiniMakongoro gani aliyefariki?
Na huo mwembe mawazo uko wapi?
Kwani kupiga debe siyo kazi?
KijakaziWamefika watu na mamilioni.
Wanasema,wewe chukua hela,wewe,hapana.
Kwa hiyo wanataka walete tabaka: rich na poor katika familia.
This is ludicrous.
Uongozi umekuwa ni shameless dividing of the people ili waweze kutawaliwa.
Hata Nchimbi amegombana na Samia; Kwa sababu Samia anasema ,The Christians are undermining me,wakiongozwa na Father Kitima. Lakini Waislamu wataninusuru.
In fact,labda Mungu pia anatugawa katika dini tofauti ili aweze kututawala.
Nimesema watu wanazawadiwa mamilioni.
Actually it is more than a million shillings, lakini itoshe kusema million Kwa sasa.
Versus wengine ambayo hawana hata senti tano. This is absolutely idiotic. I cannot think of a gentle way to describe it.
Maamuzi ya familia lazima yawashirikishe wote.Muulize nani alikuwa analazimisha kile chumba cha Mwl ambacho huwa hakifunguliwi kifunguliwe? Aliacha kiasi gani pesa za wakandarasi; Popy yupo sahihi.
Punguzeni kugombanisha familia kisa madaraka.
Kwanza nyie siyo wajukuu wa Nyerere Burito kwa damu! Toka tu unaweka kiwingu! Historia ilipotoshwa!Unajua saying,Did he jump or was he pushed?
Nataka kutoka familia ya Nyerere.
How do I do it legally?
Mimi na wana JF wengine naomba nikuhakikishie hii thread haileti shida kabisa. Kwanza imeandikwa na 🍻🍻 kwa kwa mjibu wa wenye akili ndogo kama mimi na PascalYale mambo katika Buddhism tunayaita tathata.
Yaani tathata ni ule ukweli ambao uko hivyo kama umezungumzwa au haukuzungumzwa.
Kwa mfano, Newton's law of motion,to every action there is an equal and opposite reaction.
Hiyo,kama Newton ameisema au hakuisema,ndivyo ilivyo. Ilikuwepo kabla ya Newton.
Sasa imefika pahali hata nikisema nataka kwenda Butiama watu wataniuliza"We mwehu nini? Unataka uende kule wakuue?"
Nakwenda kule,nakuta kwamba hakuna understanding yoyote kwamba nimekwenda pale Kwa sababu ni nyumbani kwangu.
Nimemwona huyu mtu mmoja alikuwa anaipinga posting hii: huyu mene mene telke.
Nikacheki posting zake kufahamu ni nani huyu anayenisema vibaya.
Nilipotazama posting zake nikaona just what I was looking for.
Katika posting yake moja anasema yeye anapenda kuchanganya konyagi na Serengeti.
This is precisely what I was looking for and it is precisely what I am talking about.
Watu wanachanganya konyagi na Serengeti,ndiyo chanzo cha matatizo yetu mengine.
Kama hii thread inaleta matatizo inaweza kuondolewa.
Kwanini uweke Facebook mambo ya familia? Kwani hakuna vikao vya wanandugu?It is always like that.
Mtu anafanya jambo: he is laughing and joking.
Lakini like jambo liandike Facebook. Utaona kwamba he is not laughing any more. Instead,he has got a fever.
Tatizo na wewe huna mambo confidential, kila kitu unaweka kwenye public domainYale mambo katika Buddhism tunayaita tathata.
Yaani tathata ni ule ukweli ambao uko hivyo kama umezungumzwa au haukuzungumzwa.
Kwa mfano, Newton's law of motion,to every action there is an equal and opposite reaction.
Hiyo,kama Newton ameisema au hakuisema,ndivyo ilivyo. Ilikuwepo kabla ya Newton.
Sasa imefika pahali hata nikisema nataka kwenda Butiama watu wataniuliza"We mwehu nini? Unataka uende kule wakuue?"
Nakwenda kule,nakuta kwamba hakuna understanding yoyote kwamba nimekwenda pale Kwa sababu ni nyumbani kwangu.
Nimemwona huyu mtu mmoja alikuwa anaipinga posting hii: huyu mene mene telke.
Nikacheki posting zake kufahamu ni nani huyu anayenisema vibaya.
Nilipotazama posting zake nikaona just what I was looking for.
Katika posting yake moja anasema yeye anapenda kuchanganya konyagi na Serengeti.
This is precisely what I was looking for and it is precisely what I am talking about.
Watu wanachanganya konyagi na Serengeti,ndiyo chanzo cha matatizo yetu mengine.
Kama hii thread inaleta matatizo inaweza kuondolewa.
Ukipewa utakataa?Siyo mimi ninayepewa.
😂Nimemwona huyu mtu mmoja alikuwa anaipinga posting hii: huyu mene mene telke.