Nataka kutoka familia ya Nyerere

Nataka kutoka familia ya Nyerere

Hii naandika hapa inakuwa kama utani.
But the truth is that hata nikisema nitaishi mpaka Desemba,itakuwa too optimistic.
Watu hapa wana homicidal tendencies.
Kwanza,sina medical card.
Tuliza wenge
Wewe ni kutoka royal family, na ishi kama royal family
Nina uhakika wewe kama wewe, ukiamua kuwa winga, basi utakuwa milionea kwa access utakazo wapa watu wenye hela kufikia viongozi wahusika kwenye kukamilisha miradi mikubwa mikubwa kwa maendeleo ya nchi
 
No siyajui, ila baadhi ya anayoweka humu kuwa yamejiri, ni mambo yao ya ndani ya familia ambayo hayakupaswa kutolewa nje, ni mambo yao ya ndani as a family.
P
Sasa Kwa nini Mwalinu alikuwa anaishi Ikulu? Kwani yeye tembo?
Kwa nini Donald Trump anaishi White House? Kwani yeye tembo?
Kwa nini Charles anaishi Buckingham Palace? Kwa nini Putin anaishi Kremlin?

Halafu tazama.
Wanataka Mama Maria Nyerere aende Angola kesho kuitwa.
Sasa Mama Maria, unsurprisingly, anasema,hawezi kwenda,she is too old,too sick.
Sasa, wanataka wa- force hiyo wamlazimishe kwenda,wanatishia asipokwenda safari yote ita- collapse,Kwa sababu Utumishi watakataa kuigharimia hiyo safari kwa wale wanafamilia wengine walioalikwa. Kwa maana hiyo,anatakiwa kusafiri,ili awaokoe wale wengine wanaotaka kushiriki katika hiyo safari. ATI,wamkimlazimiza kusafiri,itsonyesha jindi wanavyomjali. As it is,they have convinced the old lady to go.

Lakini hiyo yote tisa tisa bado kumi.
Katika hali hiyo ambapo Mama Maria anasema sitaki,sitaki,sitaki kusafiri,I am too old,ungetegemea kwamba watu hapa wangeonyesha heshima zaidi kwangu,kwa sababu I am next in line.
But no,as the health of the old lady detereorates,kejeli dhidi yangu inaon gezeka.
 
Kumbe bingwa wewe ni festi boni
basi umecheza sana, ulitakiwa uwe Raisi wa nchi muda huu, kama Endru Bush
 
Kuna vitu vya familia hupaswi kuvisema in public,dont complain family issues in public utaonekana kama ni ile hali fulani kama ni imekurudia!,ila kama ni imekurudia,then unastahili kusaidiwa ukiwemo msaada mkubwa kwa modes wa jf!

Ila its about time Tanzania tuanzishe huduma za nursing homes, wewe upatiwe a private room na mhudumu anayejua Thai massage or Swedish massage akuhudumie una relax kabisa mpaka kuchwe salama!

Kwa jinsi Baba yako anavyo chukia rushwa,ni aibu kwa mtoto wa nyumbani kutoa tuhuma za watu wanatoa rushwa ya mamilioni ya shilingi, kugombanisha wanafamilia, ili kuleta mfarakano katika familia ya Mwalimu, bila uthibitisho wowote!

P
We ll work on this Pasco
 
Then who cares?
Mtu anajisemea yake wewe inakuuma? Mswahili
Waungwana akitokea akamuona mtu amekaa vibaya, nyeti zinaonekana, hafurahii na kumchungulia, atatafuta namna ya kusaidia kumsitiri bila kumfanya ajisikie vibaya.

Mimi sio tuu ni mtoto wa maeneo ya Msasani kwa Mwalimu bali ni Mkatoliki wa St Peters, nimetumikia kanisani, nimemuhudumia Mwalimu tumesoma darasa moja Tambaza na mdogo wake, nikaenda A level Ilboru, kwa Makongoro was like home hadi viwanja vya Cave Disco nikiwa TSJ Madaraka alinifuata kuwa MC wa Haruhi ya mdogo wake, hivyo familia ya Nyerere naijua na hali ya afya ya akili ya baadhi ya wanafamilia is an open secret, sasa unapomuona mmoja wa wanafamilia hawa anakuja online kuleta mambo ya family issues ambayo yana kinga ya the right to privacy, hatuwezi kunyamaza, tunachofanya hapa ni kumpooza atulie akae sawa.

P
 
Acha kumtishia mtu anayetaka kutoka kwenye ukoo wake it's too personal hivi nyie akili zenu muda wote mmejaa vitisho mna shida gani?ila wewe mwenyewe umeshajieleza ni Kubwajinga
If it was personal why is it here?...he made too public now, not otherwise.
 
Wamefika watu na mamilioni.
Wanasema,wewe chukua hela,wewe,hapana.
Kwa hiyo wanataka walete tabaka: rich na poor katika familia.
This is ludicrous.
Uongozi umekuwa ni shameless dividing of the people ili waweze kutawaliwa.

Hata Nchimbi amegombana na Samia; Kwa sababu Samia anasema ,The Christians are undermining me,wakiongozwa na Father Kitima. Lakini Waislamu wataninusuru.

In fact,labda Mungu pia anatugawa katika dini tofauti ili aweze kututawala.
Nimesema watu wanazawadiwa mamilioni.
Actually it is more than a million shillings, lakini itoshe kusema million Kwa sasa.
Versus wengine ambayo hawana hata senti tano. This is absolutely idiotic. I cannot think of a gentle way to describe it.
Ila hili jamaa ni kichwaaa! Ukisoma katikati ya mstari kuna sindano utazisikia.
 
Back
Top Bottom