Nataka kutoka familia ya Nyerere

Nataka kutoka familia ya Nyerere

Kwa hiyo unamuona Poppy Hatonn ana hali gani ambayo imekupa wewe haki ya kumuamulia aseme nini na asiseme nini?
Naomba niishie hapa ili nisije kuleta unyanyapaa kuhusu hali za watu!, ila sisi watu wa media tuliofunzwa tukafunzika, na tuliopikwa tukapikika, tukaiva, kuna watu wenye hali fulani, ukikutana nao, unawajibu wa kuwasaidia n sio kuwaripoti kila wanachosema, kwa vile jf ni open forum, wewe ndie news source mwenyewe, wewe ndio ndio writer mwenyewe, wewe ndio editor mwenyewe na wewe ndio publisher mwenyewe, anybody mwenye hali yoyote, can post anything na watu wakasoma!.

Ile siku Dr Shika ameshitakiwa na kulazwa selo, nilisema humu wanamuonea bure baba wa watu, na amini usiamini, ni baada ya ile media attention, ndio ili send him to his demise pre matured, kama baada ya sportlight, if he was left alone to live his life, the way he lives, he would have been alive till to date!. Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.
P
 
Ushamnyanyapaa mtu halafu unasema unaomba uishie hapa usije kuleta unyanyapaa?
 
Nimemzungumzia Dr. Shika

Rejea za Dr Shika
Dr. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi!! | JamiiForums | The Home ...
Nani zaidi kati ya Dr.Shika vs Dr.Magu | JamiiForums | The Home of ...
Akili ya Dr. Shika sio ya nchi hii, hivi unajua majina yake halisi ...
Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika ...
Nini kifanyike tukio kama la Dr.Lui Shika lisitokee tena ...
Kampuni y dr shika Urusi hii hapa | JamiiForums | The Home of ...
Full details, kampuni ya Dr. Shika ya Moscow, Urusi - Lancefort ...
suala la Mrusi, Dr. Shika wa Lugumi ni planted..haliishi kesho ...
Amini usiamini Dr. Shika atalipa pesa ile | JamiiForums | The Home ...
Kuna hoja za kumshitaki Dr. Louis Shika? | JamiiForums | The Home ...
Mimi sio Dr ila hii ni proof kwamba Dr Shika ni mgonjwa wa akili ...
Uwekwe utaratibu tumchangie Dr Shika. | JamiiForums | The Home of ...
dr.shika anaishi nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of ...
Uhuru wa maisha binafsi kwa Dr Shika | JamiiForums | The Home of ...
Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua nyumba za Lugumi, atoa ...
Dr luis Shika: Aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi ...
Dr Louis Shika kimantiki na kisheria hana kosa | JamiiForums | The ...
Mapya yaibuka,Dr.Luis Shika anadaiwa malimbilizo ya kodi ...
 
Hujajibu uliloulizwa na ulilojibu hujaulizwa.
 
Private family issues should be kept private, they have their right to private!

Mimi ni miongoni mwa tuliotia timu Mwitongo baada ya msiba,uadilifu wa Mwalimu unafahamika,acheni kuleta vi drama vya kizushi kuhusu uadilifu wa Mwalimu na issues za fedha,msitake kumuanisha Poppy kaacha a fortune of billions!

Kwanza kwa msio jua alipoiona ramani, aliigomea kuwa ni nyumba kubwa sana kwani yeye tembo!

P
private (not right based on grammar)
privacy (right on your context, grammatically)
 
Hujajibu uliloulizwa na ulilojibu hujaulizwa.
Kwa msisitizo, nimezungumzia Dr Shika kuwa ni mtu mwenye hali fulani iliyohitaji kusaidiwa, nikasema kutokana na hiyo hali, hakusaidiwa na its media over exposure that sent him to his early demise!.

P
 
Kwa msisitizo, nimezungumzia Dr Shika kuwa ni mtu mwenye hali fulani iliyohitaji kusaidiwa, nikasema kutokana na hiyo hali, hakusaidiwa na its over media exposure that sent him to his demise.

P
Dr. Shika is not even the topic hapa.

Umemnyanyapaa kaka mkubwa, halafu unakataa kuendelea kuzungumzia jambo kwa kutotaka kumnyanyapaa.

Ushamnyanyapaa tayari.
 
Kwanza ni kosa kumwita mtu kichaa.
Nilikuwa USA natazama TV,Congress inapitisha resolution,na mimi natazama live, Congress (Bunge ) linapitisha resolution,linatipitisha sheria,Ni kosa kumwita mtu kichaa.
Hiyo ilikuwa 2009 nilipokuwa Marekani.
Sasa niambie wewe kwa nini Congress imepitisha hiyo sheria 2009 wakati Congress hiyo hiyo 1948( or whenever it was) ilipitisha Mental Institutions Act.
Ni kwa ajli ya kuzuia rubbish conversations kama hizi.
Kama mtu ni kichaa,by all means say so, lakini you must talk nonsense.
As we speak,sasa hivi wapo watu wanafanya party za konyagi,halafu kesho asubuhi watatuambia huyu ni kichaa,huyu ni gaidi.
 
The sharply divided US Congress has been able to agree on one thing at least - that the word "lunatic" should be banned.

imepigwa kura 398-1. Yaani mbunge mmoja tu ndiye aliyepinga.

The House of Representatives voted 398-1 on Wednesday to strike the term from all federal legislation, after the Senate did the same in May.

Apparently hata wakati wa Obama Ile sheria ilijadiliwa tena.

The measure is designed to remove language that has become outdated or demeaning from the US code.

The bill will now go to President Barack Obama for his signature.

Senator Kent Conrad, one of the sponsors of the measure, said: "Federal law should reflect the 21st Century understanding of mental illness and disease, and that the continued use of this pejorative term has no place in the US code."

Nilikuwa USA, wakati Obama was President.
Ndio sheria hii ninayoizungumzia.
Imejadiliwa 2009 lakini apparently inafika Kwa Rais 2012.
 
Ujumbe kwa Ndugu Andrew Burito Kambarage.

Ndugu yangu na Baba yangu, Andrew Burito Kambarage,

Nakuandikia ujumbe huu kwa heshima kubwa na kwa moyo wa upendo. Si kwa lengo la kukushambulia, bali kushiriki hisia ambazo zimekuwa moyoni mwangu kwa muda mrefu.
Naamini ulipata neema ya kipekee sana maishani. Si kila mtu hupata nafasi ya kuzaliwa akiwa mtoto wa kwanza, tena wa kiume, wa Baba wa Taifa, . Wapo wengi ambao hawakuwahi hata kuwafahamu baba zao tangu walipozaliwa. Wewe ulipata fursa ya kukulia chini ya mtu ambaye historia ya Tanzania na Afrika itaendelea kumkumbuka kwa mchango wake mkubwa.

Mwalimu Nyerere hakujulikana kwa uongozi wake pekee, bali pia kwa maisha ya nidhamu, unyenyekevu, uchamungu, uzalendo, kujitolea kwa wananchi na kuweka maslahi ya taifa mbele kuliko yake binafsi. Alikuwa mfano wa kiongozi ambaye wengi walitamani kuiga.
Kwa sababu hiyo, mara nyingi nimekuwa nikijiuliza: Je, ni mzigo mkubwa kiasi gani kubeba jina la Mwalimu Nyerere? Lazima si jambo rahisi. Lakini kadiri miaka inavyopita, Watanzania wengi hutamani kuona watoto wake wakiendeleza maadili na urithi aliouacha.

Nimekuwa nikisikitishwa ninaposikia au kuona taarifa mbalimbali zinazowahusu baadhi ya watoto wa Mwalimu ambazo hazipatani na taswira ya maadili aliyoyaishi. Ikiwa baadhi ya taarifa hizo ni za kweli, basi ni jambo la kusikitisha sana. Sio kwa sababu hakuna binadamu mkamilifu, bali kwa sababu jina la Mwalimu Nyerere lina uzito mkubwa machoni mwa Watanzania na Waafrika wengi.
Leo alfajiri, majira ya saa 5:05, nimekuwa nikisikiliza hotuba ya Baba yako akizungumzia utawala wa , akielezea madhara ya uongozi wa mabavu na matumizi ya nguvu badala ya haki. Nilipokuwa nikimsikiliza, nilikumbuka hekima yake, ujasiri wake wa kusema ukweli na namna alivyolitetea taifa na bara la Afrika. Nilihisi uchungu nikijiuliza kama kuna yeyote katika familia yake atakayeendeleza urithi huo kwa nguvu ileile ya maadili na fikra.

Ujumbe wangu kwako si wa hukumu bali wa maombi. Bado haijachelewa. Bado mna nafasi ya kulinda na kuheshimu urithi wa Baba yenu. Watanzania wengi wangependa kuwakumbuka si kwa jina la Nyerere pekee, bali pia kwa matendo yanayoendana na maadili aliyoyaishi.
Kumbukeni kwamba jina kubwa ni zawadi, lakini pia ni wajibu. Vizazi vijavyo vitawatazama si kwa sababu tu ni watoto wa Mwalimu Nyerere, bali kwa namna mlivyoishi na kuitunza heshima ya familia yenu.
Mungu awape hekima, nguvu na neema ya kuendelea kulinda urithi wa Baba wa Taifa kwa maneno, matendo na maisha yenu.

Poleni sana, na Mungu awabariki.
 
Umeandika toka moyoni.

Mimi nasema hivi kwa kifupi sana kuhusu Mwalimu Nyerere.
Hakuwazaa hao watoto wake wa damu pekee; bali aliwazaa watoto chungu nzima ndani ya taifa hili. Hawa wote watajenga 'legacy' ya Mwalimu.

Bandiko lako nimesita tu kuweka alama nyingine mbali ya hiyo ya "kufikiri" niliyochagua kwa maksudi.
 
Kuna vitu vya familia hupaswi kuvisema in public,dont complain family issues in public utaonekana kama ni ile hali fulani kama ni imekurudia!,ila kama ni imekurudia,then unastahili kusaidiwa ukiwemo msaada mkubwa kwa modes wa jf!

Ila its about time Tanzania tuanzishe huduma za nursing homes, wewe upatiwe a private room na mhudumu anayejua Thai massage or Swedish massage akuhudumie una relax kabisa mpaka kuchwe salama!

Kwa jinsi Baba yako anavyo chukia rushwa,ni aibu kwa mtoto wa nyumbani kutoa tuhuma za watu wanatoa rushwa ya mamilioni ya shilingi, kugombanisha wanafamilia, ili kuleta mfarakano katika familia ya Mwalimu, bila uthibitisho wowote!

P
Anayetoa "rushwa"; huko ndiko udhaifu wako ulipo. And you'll never get out of it unfortunatel!.
 
Kama uliweza kuvumilia yote kwa miaka yote, huwezi kushindwa kuvumilia na kustahimili muda huu wa jioni kabisa, ukiona giza limekuwa kubwa sana, ujue ni karibu kunapambazuka, don't do anything silly this time, subiri kukuche!.

Wish you all the best
It's as if you're mocking him!
 
No sio haipendi CCM, ni yuko kama Baba yake, hataki ujinga!, hata Mwalimu, japo alikuwa CCM lakini hakutaka kabisa mambo ya kijinga, CCM ikileta ujinga alikuwa anachukua ana tupa kule! Watu Wenye Akili, tusikubali ujinga huu ! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 Kusimamisha Jitu la Hovyo!, Akachagua upinzani!

P

Mheshimiwa P,

Nimesoma thread, Sasa nimemuelewa Andrew, lakini yeye ana uwezo kubadilisha Hali iliyopo kwa sasa ndani ya Chama na Serikali, nafasi bado anayo
 
Back
Top Bottom